Diamond umemkosea nini Majizo na E-FM mbona hawachezi nyimbo zenu?

Wamiliki wa media nyingi hasa hizo tatu zilizo tajwa wanapenda kunyonya wasanii na kunyenyekewa sana,,,,,, lakini hawa wa E-Fm hadi watangazaji wanamchukia sana Diamond wakiongozwa na Gerald HANDO
 
Mkuu kwa nini unahusisha kufanikiwa kwa Diamond na Kufungiwa/kutopigwa kwa nyimbo zake?? Mbona Clouds wana historia ya kufungia/kutopiga nyimbo za wasanii ambao hawana mafanikio kabisaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Lakini kwa issue ya Diamond ni kufanikiwa ndio maana wanamsingizia ana dharau
 
Hakuna lolote bwana mbona hawayaleti hayo kwa Times,RADIO FREE,Radio one? bali ni kwa radio zinazo andaa matamasha na zinazo penda kutumia wasanii kutimiza mambo yao?
Ukweli ni kwamba hawa wamiliki wa radio hizo tajwa hugeuza biashara vita ..wakishindwa kumpata msanii wa Diamond basi ina geuka vita na diamond
 
Sikuhuzi watu tunatumia technology sasa kuna app kibao zenye update za new song #hii haiwez mshusa mtu yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa, nina karibia miezi 5 nimepaki kingamuzi cha TCRA (siangalii TV channels) ila napata updates zote muhimu na simu janja mahali popote wakati wowote.
Zama hizi huwezi mvimbia mtu mkuu usipopiga nyimbo redioni social media inaunganisha watu na wanapakua nyimbo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wasipopiga uku mtaani nyimbo za wasafi ndo zinapendwa zaidi
 
lakini TV NA RADIO BADO ZINA UMUHIMU WAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…