Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
We si ndio msemaji wake, unakosaje majibu!!!Bado najiuliza Diamond ana wakosea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si ndio msemaji wake, unakosaje majibu!!!Bado najiuliza Diamond ana wakosea nini?
Ndio hapo sasa!!
Kweli mahaba upofu.Nasib ana dharau gani sasa? au kufanikiwa ndio dharau
Possible.
Ndio maana wakasema mafahali wawili hawakai zizi moja,inabidi m1 alay low,sasa nani anayemuhitaji mwenzake zaidi? Dimond inabidi alay low tu.Ni ukweli ulio wazi wana mchukia sana Diamond na wanataka awanyenyekee
Wamiliki wa media nyingi hasa hizo tatu zilizo tajwa wanapenda kunyonya wasanii na kunyenyekewa sana,,,,,, lakini hawa wa E-Fm hadi watangazaji wanamchukia sana Diamond wakiongozwa na Gerald HANDOWengi wanasema msanii hatakiwi kudharau media.. Msanii katoa ngoma kali sana kaipeleka media, baada ya hapo heshima inapimwaje hili wimbo wake mkali uanze kuchezwa?
Na kwa nini heshima anakosa Diamond hila anafungiwa mpaka Mbosso?
Ali Kiba akikosa hiyo heshima atafungiwa mpaka Abdu Kiba? Au Barnaba akikosa heshima inafungiwa THT yote?
Nafikiri kuna ishu zaidi ya heshima au dharau. Waswahili ni mabingwa wa kuvutana mashati.
Lakini kwa issue ya Diamond ni kufanikiwa ndio maana wanamsingizia ana dharauMkuu kwa nini unahusisha kufanikiwa kwa Diamond na Kufungiwa/kutopigwa kwa nyimbo zake?? Mbona Clouds wana historia ya kufungia/kutopiga nyimbo za wasanii ambao hawana mafanikio kabisaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna lolote bwana mbona hawayaleti hayo kwa Times,RADIO FREE,Radio one? bali ni kwa radio zinazo andaa matamasha na zinazo penda kutumia wasanii kutimiza mambo yao?Tatizo haliko kwa wasanii, Tatizo liko kwa Mameneja
kuna Said Fella, Salam na Babu Tale
Hawa wawili hawa, Babu Tale na Salam... ni shida kubwa na ndio wanayaleta hayo, wanaweza kwa wanaona wako sawa kwa upande wao kwa wanayoyafanya, ila kwa upande wa wanaofanyiwa yakawa sio sawa
hahahahahKwani habari za michezo huwezi zipata mtandaoni? Kumbe na wewe bado mtumwa wa kina Shaffii Dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe jamaa ni Wasafi buku 7 anatuchosha bure tu hapa?We si ndio msemaji wake, unakosaje majibu!!!
Ndio hivyo mkuu.
Umeongea point kubwa, nina karibia miezi 5 nimepaki kingamuzi cha TCRA (siangalii TV channels) ila napata updates zote muhimu na simu janja mahali popote wakati wowote.Sikuhuzi watu tunatumia technology sasa kuna app kibao zenye update za new song #hii haiwez mshusa mtu yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini TV NA RADIO BADO ZINA UMUHIMU WAKEUmeongea point kubwa, nina karibia miezi 5 nimepaki kingamuzi cha TCRA (siangalii TV channels) ila napata updates zote muhimu na simu janja mahali popote wakati wowote.
Zama hizi huwezi mvimbia mtu mkuu usipopiga nyimbo redioni social media inaunganisha watu na wanapakua nyimbo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Zina umuhimu ila sio TBC 1.lakini TV NA RADIO BADO ZINA UMUHIMU WAKE