Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
-
- #101
Hivikwa East Africa media wao tofauti yao na wasafi imeanza mwishoni mwa mwaka 2016 wao waliandaa tuzo na walitangaza kila msanii alete nyimbo zake katika idara ya muziki ili waweze kupanga kategori lakini wasafi walipuuzia ilo na iyo ndo sababu ya EATV na EA radio hawapigi nyimbo za wasafi kwani wao hawakuonyesha ushirikiano walipoandaa tuzo iweje wao wasapoti nyimbo zao...
Diamond amemkosea nini majizo?Diamond Platnumz tusimtetee sana jamaa anadharau imagine alichowafanyia East Africa Media. East Africa media waliandaa tuzo wakawaomba wasanii wajitokeze kujaza fomu za ushiriki jamaa akachomoa. Na siyo kuchomoa tu akatoa maneno ya dharau eti ohoo siwezi kujaza fomu mimi ili niwekwe kwenye tuzo ni kama naapply. Hili ndilo lililofanya mpaka kesho EA media wasipige nyimbo za WCB.
Mashabiki wa Diamond mnalaumu bure tu lakini tambueni kuwa hakuna mtu kichaa ambaye anaweza akaacha kucheza nyimbo nzuri za WCB akacheza vinyimbo vya kina Mario bila sababu ya msingi, ukiona mtu amefikia hatua hiyo jua kuwa imemlazimu. Redio stations ni makampuni lakini zinaongozwa na watu ambao wanastahili heshima na kuwa recognized mchango wao na wakidharauliwa wanaumia siyo wamiliki tu staff wote wanajisikia vibaya maana ofisi ni kama familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Diamond pekee hakujaza hizo fomu?