King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Swali langu kwanini vituo kama vyote visipige nyimbo zao WCB?Nasib ana dharau gani sasa? au kufanikiwa ndio dharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu kwanini vituo kama vyote visipige nyimbo zao WCB?Nasib ana dharau gani sasa? au kufanikiwa ndio dharau
Ngoja nikuulize bro,Kimsingi radiuo nyingi kuanzia watangazaji na Madj ni mashabiki wa kiba na kwanini tusiseme hawa wamiliki wa radio wanapenda kuabudiwa na kuliliwa? nilishangazwa siku moja kumsikia Gerald hando akionesha chuki kubwakwa diamond.
Hivi kwanini mtu akifanikiwa anapachikwa jina ana dharau?
Mkuu radio kamwe haiwezi poteza umuhimu wake ..
Teknolojia gani unayoizungumzia?..marekani na teknolojia waliyonayo watu bado wanasikiliza redio,sembuse bongo??
Mtu yupo simuyu ndani ndani uko anaachaje kusikiliza redio??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani habari za michezo huwezi zipata mtandaoni? Kumbe na wewe bado mtumwa wa kina Shaffii DaudaKiukweli mara ya mwisho kusikiliza redio ilikua 2017 mwezi wa 4
Sasa hivi nasikilizaga vipindi vya michezo tuu....vipind vingine vyooote vya kiburudani haina haja kukomaa navyo sana
Maana nikitaka burudani yoyote ile naingia mtandaoni na nazipata kadri ninavyotaka mie,na sio kwa kupangiwa na dj flani katika kipindi.
Mkubali mkatae,itafikia mahali,radio station zote zitabakia kurusha vipindi vya taarifa ya habari na live events tu...teknolojia ya kijinga sana
Kwani habari za michezo huwezi zipata mtandaoni? Kumbe na wewe bado mtumwa wa kina Shaffii Dauda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam...
Ukiacha Clouds FM na East Africa radio ambao hawachezi nyimbo za Wasafi lakini kwa sasa wameongezeka E-fm nao hawachezi nyimbo za wasanii wawa safi...
Bado najiuliza hivi Diamond ana wakosea nini hawa watu ambacho kina wafanya wamchukie yeye na group lake?
Clouds Fm kupitia Kusaga walitangaza kuanaza upya na kusahau yote na hivi karibuni wataanza kupiga nyimbo zao..
Radio one wako tofauti kabisa na EA radio ...Radio one wanacheza nyimbo zote za Wasafi.
Bado najiuliza kwanini wamiliki wengi wa radio wanachukia challenge? Kwanini msanii akiendelea kidogo wana lazimisha kila mtu amuone mbaya?
Bado na jiuliza Diamond umemkosea nini Majizo?
nani kakuuliza?Yaani Mimi Sijawahi angalia clouds hata siku moja.
Soma vizuri mtoa post kaweka Clouds kama haipo nahisi mada tofauti.nani kakuuliza?
Mada inayojadiliwa hapa sio hiyo
Ni kweli hawahitaji media kufanikiwa lakini lazima tujiulize wasio cheza nyimbo zao amewakosea nini? kufanilkiwa ni kosa?
AISEEEHii ishu ya kutocheza ngoma za wasafi nadhani kwanza lina pande mbili au zaidi!
1;Kibiashara!
Mmikiki wa chombo hawezi kuendelea kuzipa airtime zaidi nyimbo za wasanii ambao mwisho wa Siku kituo kikiandaa tamasha msanii au mameneja wake wanakaza msanii wake asitokee(hasa kwa hivi vituo vilijikita kiburudani zaidi)
Hii haiingii akilini .. ..
2;Wivu
Hapa kama ilivyo kawaida yetu Wabongo ukifika juu wanataka kukushusha na wanakuwekea mizengwe kibao kwa lengo la kutaka uendelee kua chini yao!
3; Msanii Binafsi
Kuota mapembe na kudharau wale walipmfikisha alipo licha ya kuwa anaweza akasema ni juhudi binafsi ndio zimemfikisha alipo ila ukweli unabaki pale pale Kuna watu (media) zilizomfikisha alipo!
salama mkuuAISEEE
Mameneja wana attitudes za kishambaSwali langu kwanini vituo kama vyote visipige nyimbo zao WCB?