Diamond unafanya kazi kubwa ila kwa hili la Mavoko na video ya Kokoro umebugi

Ahhahahahha naona kokoroo imevuruga hali ya hewa......

Wimbo saaafi.....
 
Naskia eti kifesi alienda WCB hajui kupiga picha....wewe kwa ulivyochambua rangi unaweza kuja kuwa director mkubwa Africa na duniani mcheki baba Tifa..... If you can't beat them join them
 
mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
Sikiliza tu...Kipenda roho
 
Hivi kumkosoa ni dhambi au yeye kila anachofanya ni perfect,acheni ushamba
 
Silent hater
mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
 
Hivi kumkosoa ni dhambi au yeye kila anachofanya ni perfect,acheni ushamba
Kwakwel kukosoa sio dhambi hata muhusika alisemag anapenda ivyo ndo anapata kiki zaidi ila sema watu wanakosoa vingine ata havikosoleki asa unaanzaje kukosoa rangi kwa mfano.
 
Asante kwa kuongeza viewers, angalau umesikiliza mpaka mwisho. Shukran sana, uwe na moyo huo huo team kiba

mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
 
Ni kweli anarudia ila watu wanampenda tuuu...

Tatizo ni nyotaaaaaaaaa!!

Sasa wewe kama unanyota ya matembele..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…