Wailes Josiah
Member
- Sep 28, 2016
- 34
- 14
Mond hakamatiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza jazba.Mamaako analenga soko la wapi????
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naziona juhudi zko
Naskia eti kifesi alienda WCB hajui kupiga picha....wewe kwa ulivyochambua rangi unaweza kuja kuwa director mkubwa Africa na duniani mcheki baba Tifa..... If you can't beat them join them![]()
Jioni ya jumanne imetoka video mpya ya msanii mwingine wa WCB RICH MAVOKO akiwa amemshirikisha bosi wake Diamond Platinumz unaofahamika jina la KOKORO kimsingi mimi [HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] sijaelewa Audio kabisa ila kwa Video tu hawa jamaa huwa hawawezekani bongo ukilingamisha na wasanii wengine.
Nilichokigundua katika hii video ni kwamba haijalenga soko la ndani labda NIGERIA na SOUTH lakini sidhani wabongo kama tutaielewa au labda tulazimishwe na nguvu ya media na kulazamisha kumunua watazamaji ili tuone inafanya vizuri pia naifananisha na nyimbo ya Diamond FT Iyanya kiukweli KIBONGO ilibuma ila NIGERIA ikatusua so ngoja tusubirie labda ndo mikakati ya WCB kumfanya MAVOKO mwakani aingie tuzo za kimataifa.
Nilichokiona katika video kumekuwa na mrudio wa Rangi kila video mfano RANGI na NYEUPE kila baadhi nyimbo ya WCB Hwa hazikosi mfano [HASHTAG]#BADO[/HASHTAG] [HASHTAG]#IBAKISTORY[/HASHTAG] [HASHTAG]#MUGHACHERERE[/HASHTAG] [HASHTAG]#INDE[/HASHTAG] [HASHTAG]#NATAFUTAKIKI[/HASHTAG] [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] au ndo officially Rangi zao waseme basill lakini pia kuna zile seen za Kukaa kwenye kochi kila [HASHTAG]#NYIMBO[/HASHTAG] lazima iwepo sijui mtoa idea huwa anakua mmoja tu
Kimsingi Natambua mchango wa DIAMOND katika kuinua Muziki wa TZ lakini kwa hapa umeniangusha umekuwa ukitumia gharama kubwa kuwekeza katika Video lakini hakuna ubunifu zaidi ya mrudio wa Rangi na Shot na content ndio maana hata video zetu hazingiagi kipengele cha video bora kwenye tuzo za nje.
Ushauri kwa wasanii wengine pia tubadilike kwa kuwa wabunifu kimuziki lakini kufahamu mashabiki wanahitaji nini kwa kulingana na muda
[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
Sikiliza tu...Kipenda rohomashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
Kwakwel kukosoa sio dhambi hata muhusika alisemag anapenda ivyo ndo anapata kiki zaidi ila sema watu wanakosoa vingine ata havikosoleki asa unaanzaje kukosoa rangi kwa mfano.Hivi kumkosoa ni dhambi au yeye kila anachofanya ni perfect,acheni ushamba
mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
Hivi kumkosoa ni dhambi au yeye kila anachofanya ni perfect,acheni ushamba