Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi kupepea na wasafi fm
1. Sports Arena na Sports Court pale ubunifu uliopo naona tayari ushakata pumzi ya kina Shafii na makanjanja uchwara pale clouds wanafki wasiojua chochote kuhusu soka ila kwa weekend kama ya jumamosi kuwepo na kipind cha michezo hata mchana yaan Saturday arena ili jumamosi tusiiache bila waskilizaji
2. Zembwela aongeze ubunifu sana anakuwaga na kelele na mada ambazo hazivutii mtu kuona asubuhi ni tamu kwa kusikiliza kipindi hicho ila wengine kwa asubuhi wako super hvo mumrekebishe tu Zembwela utakua umeua ile power break fast ya mawngu
3. Dida na timu yake pale hakuna shaka ila the switch dah Mshana kama kapwaya sana ila cha msingi tafuta ubunifu wa kupachika visegment vitamu ndani ya the switch ili kinoge na wapunguze story za Ulaya na wasanii wa Marekani kwa wingi.
4. Tafuta watangazaji wako ambao utawapika kwa miiko ya timu yako kama ulivyompika zuchu, achana na kusajili sana hawa waswahili kutoka hayo ma media uchwara, mfano Jonijo. Me naamini Simba kunavipaji vingi sana vya watangazaji wazuri huku mtaani.