Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

wasafi media japo ina mda mfupi bt ndo media kubwa na maarufu zaidi huko duniani kuliko media zote tz, haya yote yamewezekana kwa juhudi za mtoto wa tandale
 
Sasa wewe muanzisha mada unasikiliz Wasafi fm au Clouds fm? Hayo yanayoendelea Clouds unayafahamu vipi? Au vipindi vinapwaya huko Wasafi kwa hiyo unahama hama station. Sikiliza tu Wasafi hiyo Clouds achana nayo.
 
wewe ni waajabu sana, unamponda mwenzako kwa chuki ambazo wewe mwenyewe umeziweka wazi kwa clouds, na umeanzisha thread as if lengo la wasafi media ni kuiangamiza clouds!
bora umeliona hilo lililonishangaza hata mimi. chuki imemjaa kwa clouds hadi anajisahau kuificha.

nilishasema hapa kuwa mashabiki wa diamond waacheni tu.....waswahili, washamba na ni kama wachawi fulani hivi....kujaribu kuwaelewesha ni kujipa kazi tu; kwa kuchamba wenyewe ni namba moja!
 
1. Sports Arena na Sports court.. Hiki ni Copy ya Sports HQ kutoka pale E-Fm kudhiilisha hili mpaka watangazaji walibebwa ili ku-paste vizuri, so hakuna ubunifu wowote

2.Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kusikiliza power break fast na Clouds 360 eti vipindi vyenye watangazaji mahili wenye weledi wa hali ya juu na wachambuzi wa Mada kiwango cha HD, eti wakamsikilize zebwela na kitenge wanaotangaza kama mwehu aliyepoteza makopo yake..

3.yaaani na Akili Zako uache kusikiliza Leo tena Mada mbalimbali za kuelimisha na kuburudisha, eti ukasikilize kipindi cha taarabu chenye kuchambana..

The Swich ni kama Imebuma hivi haina Ubunifu Lil Omy kilichokua kinambeba ni Interview na maswali yake ya kusoma kwenye simu kichwani ni Empty huwezi ukampa mada ya mziki akaichambua, Uwezi ukaacha kusikiliza XXL kipindi chenye watangazaji mafundi Wa burudani na malegend wa hizi kazi eti ukasilize utopolo wa Ze Swich utakua mwehu

4.kumwambia atafute watangazaji wake mtu aliyezoea kufanya kila tukio kwa kutafuta kik ni sawa na kumpigia mbuzi Gitaa, yani unamshauri apike watangazaji kama alivyompika Zuchu [emoji23][emoji23][emoji23] sasa yule Zuchu kapikwa nini yani wakati kabebwa na Promo uwezo wake Mdogo, jamaa anaendesha redio kwa umaarufu wake ila ubunifu Ziro..

hizo Media unazoziita uchwara ndo katoa watangazaji uko wanaibeba hiyo radio yake, basi hata wasafi media ni uchwara [emoji23][emoji23]

huyo unamuita simba kwa utapeli na unyonyaji anaoufanya sisi wataalam tunamuona kenge tu na siyo simba

[emoji860]Sikiliza Wewe Sisi ndiyo wataalam wa hizi kazi.. Kaa kitaalam wewe usikae kipimbi
Bantu, Kennedy,Meena, DJ sinyorita na Mamy baby walitoka wapi, au nyie ndio mnaubunifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom