Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

Tatizo watoto wa mtaani wote wanawaiga akina B Dozen na mwenzie Mchomvu. Watu wanatakiwa wawe na vipaji real ili kuleta ladha tofauti kabisa.
 
Kiukweli wasafi media cjawahi sikiliza kabisaa, ila kwenye power breakfast kuna yule mtoto mama lao Barbra hassani ananikosha sana. Big ups kwa ile team,
Kama nikiwa boared bora nisikilize waasisi wa singeli E-fm kuna hando
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dida una matatizo wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa diamond ndio hao hao mashabiki wa wasafi fm. Kwa kifupi wasafi media n km mwanafunzi wa form1. Ajitahidi angalau amalize Olevel. Kumfananisha na cloud ni utindio wa akili
 
Yani niache kumskiliza mchambuzi bora wa michezo Oscar Oscar et nikamskilize Rikadomomo.. takuwa na utindio wa akili😂😂
Kwanini umemchagua Ricardomomo na si George ambangile au edo kumwembe?
 
Mashabiki wa diamond ndio hao hao mashabiki wa wasafi fm. Kwa kifupi wasafi media n km mwanafunzi wa form1. Ajitahidi angalau amalize Olevel. Kumfananisha na cloud ni utindio wa akili
Tena awe Makini asije akachapwa mimba masomo yakamshinda
 
MBONA UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA? HUU MUDA UNAOPOTEZA UTAKUJA KUUJUTIA BAADAE
 
Mpinzani wa clouds n Ea radio
Diamond ni one of the top artist in Africa n WCB is a top Music leble in Africa ila kuhusu wasafi naona bado wazidi kupambana
 
Mie nikiona comments zako huwa najisikia burudaniiiiiii. Uwiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...YAANI MNGEJUA HAKUNA BIFU NA ZOTE REDIO MMILIKI MWENYE SHARE HOLDER KUBWA NI MMOJA MSINGEPOTEZA NGUVU ZENU KUBISHANA YAANI KUNA WATU KWENYE MARKETING STRATEGICS WAJANJA SANA ILO NI BIFU BIASHARA


ANYWAY WABONGO TUNAENDESHWA TU
 
Ukweli mtupu leo tena na jahazi ni vipindi bora kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…