Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

wasafi media japo ina mda mfupi bt ndo media kubwa na maarufu zaidi huko duniani kuliko media zote tz, haya yote yamewezekana kwa juhudi za mtoto wa tandale
 
Sasa wewe muanzisha mada unasikiliz Wasafi fm au Clouds fm? Hayo yanayoendelea Clouds unayafahamu vipi? Au vipindi vinapwaya huko Wasafi kwa hiyo unahama hama station. Sikiliza tu Wasafi hiyo Clouds achana nayo.
 
wewe ni waajabu sana, unamponda mwenzako kwa chuki ambazo wewe mwenyewe umeziweka wazi kwa clouds, na umeanzisha thread as if lengo la wasafi media ni kuiangamiza clouds!
bora umeliona hilo lililonishangaza hata mimi. chuki imemjaa kwa clouds hadi anajisahau kuificha.

nilishasema hapa kuwa mashabiki wa diamond waacheni tu.....waswahili, washamba na ni kama wachawi fulani hivi....kujaribu kuwaelewesha ni kujipa kazi tu; kwa kuchamba wenyewe ni namba moja!
 
Bantu, Kennedy,Meena, DJ sinyorita na Mamy baby walitoka wapi, au nyie ndio mnaubunifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…