Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea
Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui
Tunaangalia kazi hatuangalii kukomoana hao ndo mashabiki
[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] #me ndo habari
Bongo fleva imegeuka mashindano ya korea ya kas na korea ya kus huo ni ulimbukeni ndani ya bongo fleva
Mwenzako anafanya show kijitonyama wewe na roho yako unafanya makumbusho usiku huo huo hivi kama sio chuki ninini?
Hicho kihoro kitaimaliza bongo fleva kwa ulimbukeni na usabasi
Ulidhani utamkomoa kiba khaaa sasa umejikomoa mwenyewe na kingoma chako cha mwendokas looh
SINA TEAM hapa Mimi ni
shabiki
@mwenzio @akijiita
mvuto Nawe @jiite
mnato
hahahahaha
Sent using
Jamii Forums mobile app