Diamond unatafuta kiki kwa pikipiki kwa kiba umenoa butu!

Diamond unatafuta kiki kwa pikipiki kwa kiba umenoa butu!

Jeshi la WCB halijawahi acha kibakuli salama # tusipangiane [HASHTAG]#tunatoa[/HASHTAG] song mda wowote tukitaka hatupangiwi! [emoji23] vimachozi vimelenga
 
Bado anakimbiza
ccfde31f961f021a4928c6faa0230218.jpg
Baada ya masaa 11
223460 views zimeongezeka kwa kiba
155987 views z Zilipendwa
15c3d13eded95b119c94e5c9f65c9205.jpg
 
Amemuaribia kwani kafunga watu macho na masikio.. wasiangalie na kusikiliza mwimbo wa Ali au?

Acheni hizo kila mtu na kazi yake.. muhimu kuvuta pesa na kuwa bosi.. ambapo Dai yupo mbele yake maili nyingiiii na video ya kiba bomu haswaaa... aanze kukopa ajipaishe
wewe mshamba sana kuonyesha ferarri ndio video nzuri?
 
Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea
Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui
Tunaangalia kazi hatuangalii kukomoana hao ndo mashabiki
[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] #me ndo habari
Bongo fleva imegeuka mashindano ya korea ya kas na korea ya kus huo ni ulimbukeni ndani ya bongo fleva
Mwenzako anafanya show kijitonyama wewe na roho yako unafanya makumbusho usiku huo huo hivi kama sio chuki ninini?
Hicho kihoro kitaimaliza bongo fleva kwa ulimbukeni na usabasi
Ulidhani utamkomoa kiba khaaa sasa umejikomoa mwenyewe na kingoma chako cha mwendokas looh
SINA TEAM hapa Mimi ni shabiki
@mwenzio @akijiita mvuto Nawe @jiite mnato
hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
anakimbizwa mtaani na YouTube atakoma na matonya nae kaliamsha dude watajamba Cheche shenz, chezea king kiba, tembo mmoja simba kumi
 
ZILIPENDWA ni wimbo wa Matonya.
Sasa kundi zima la Wasafifi wamwashindwa kabisa kudikiri kitu kipya????
Walichokifanya ni kuongeza tu matukio ya zamani (zilipendwa)

Na Watanzania wlivo wanafiki wanasema ni ngoma kali kuliko KIPUSA.
Huu ni UZUZU
 
diamond ameanza kufanya music kama siasa za ukawa na ccm soka la bongo la yanga na simba... hizo ni dalili za kupoteana
 
Mi Nasubiri atakaposhukuru views zikifika 1 Million leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom