Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
-
- #21
Yaani amechemsha kbsNilikua fan mkubwa wa Dai ila tangu alivoonyesha udhaifu wa kumkataa mtoto wake kanitoka sana.hata mziki wake sisikilizi tena
Baada ya masaa 11Bado anakimbiza
wewe mshamba sana kuonyesha ferarri ndio video nzuri?Amemuaribia kwani kafunga watu macho na masikio.. wasiangalie na kusikiliza mwimbo wa Ali au?
Acheni hizo kila mtu na kazi yake.. muhimu kuvuta pesa na kuwa bosi.. ambapo Dai yupo mbele yake maili nyingiiii na video ya kiba bomu haswaaa... aanze kukopa ajipaishe
anakimbizwa mtaani na YouTube atakoma na matonya nae kaliamsha dude watajamba Cheche shenz, chezea king kiba, tembo mmoja simba kumiNdo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea
Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui
Tunaangalia kazi hatuangalii kukomoana hao ndo mashabiki
[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] #me ndo habari
Bongo fleva imegeuka mashindano ya korea ya kas na korea ya kus huo ni ulimbukeni ndani ya bongo fleva
Mwenzako anafanya show kijitonyama wewe na roho yako unafanya makumbusho usiku huo huo hivi kama sio chuki ninini?
Hicho kihoro kitaimaliza bongo fleva kwa ulimbukeni na usabasi
Ulidhani utamkomoa kiba khaaa sasa umejikomoa mwenyewe na kingoma chako cha mwendokas looh
SINA TEAM hapa Mimi ni shabiki
@mwenzio @akijiita mvuto Nawe @jiite mnato
hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliingia you tube kuangalia seduceBado anakimbiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliingia you tube kuangalia seduce
1. Kwa simu
2. Kwa iPad
3. Kwa laptop
4. Work pc
Niliingia you tube kuangalia seduce
1. Kwa simu
2. Kwa iPad
3. Kwa laptop
4. Work pc
Wewe acha King made our weekend just perfectSipati picha hiyo miuno ya charanga na despacito [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
wewe mshamba sana kuonyesha ferarri ndio video nzuri?