Diamond unatafuta kiki kwa pikipiki kwa kiba umenoa butu!

Diamond unatafuta kiki kwa pikipiki kwa kiba umenoa butu!

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea
Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui
Tunaangalia kazi hatuangalii kukomoana hao ndo mashabiki
[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] #me ndo habari
Bongo fleva imegeuka mashindano ya korea ya kas na korea ya kus huo ni ulimbukeni ndani ya bongo fleva
Mwenzako anafanya show kijitonyama wewe na roho yako unafanya makumbusho usiku huo huo hivi kama sio chuki ninini?
Hicho kihoro kitaimaliza bongo fleva kwa ulimbukeni na usabasi
Ulidhani utamkomoa kiba khaaa sasa umejikomoa mwenyewe na kingoma chako cha mwendokas looh
SINA TEAM hapa Mimi ni shabiki
@mwenzio @akijiita mvuto Nawe @jiite mnato
hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaamini kwenye kuunda Diamond au Kiba wawili....wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe deal...dunia mwendo wa ngisi kung'aa sio lazima staa ashushwe...ukiacha hisia zikuendeshe...kwa ujeuri utaishia kufeli
Ngosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemuaribia kwani kafunga watu macho na masikio.. wasiangalie na kusikiliza mwimbo wa Ali au?

Acheni hizo kila mtu na kazi yake.. muhimu kuvuta pesa na kuwa bosi.. ambapo Dai yupo mbele yake maili nyingiiii na video ya kiba bomu haswaaa... aanze kukopa ajipaishe
 
Bado anakimbiza
ccfde31f961f021a4928c6faa0230218.jpg
 
Nilikua fan mkubwa wa Dai ila tangu alivoonyesha udhaifu wa kumkataa mtoto wake kanitoka sana.hata mziki wake sisikilizi tena
 
Amemuaribia kwani kafunga watu macho na masikio.. wasiangalie na kusikiliza mwimbo wa Ali au?

Acheni hizo kila mtu na kazi yake.. muhimu kuvuta pesa na kuwa bosi.. ambapo Dai yupo mbele yake maili nyingiiii na video ya kiba bomu haswaaa... aanze kukopa ajipaishe
Kwendraaa halafu we rachel dangwa ushachoka kumshobokea makonda na lemutuz kule instaa sasa unaleta ufukunyuku humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom