Diamond unawabania maproducer

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Huku wasanii wakiendelea kufaidika na mziki maproducer wanazidi kufa njaa mbaya zaidi huu mtindo alionza kufanya msanii Diamond haukubaliki.

Kwanini kwenye nyimbo zake producer hatambulishwi aliyetayalisha nyimbo kama wafanyavyo wasanii wengine? Nyimbo inavyoanza ianze na sign yake kufanya hivi sioni sababu zozote zaidi ya kubaniana tu pia producer maxmizer alishafunguka kuwa aliyetengeneza nyimbo ya bado alilipwa 30000 huku nyimbo imeingiza mamilion.

Diamond badilika hii nyimbo yako mpya katengeza Shirko wa Yamoto band lakini kamficha kazi yake isionekane.
 
Jambo kuu ni kuhakikisha unapofanya makubaliano yoyote lazima pawepo na makubaliano ambayo yanathibitishwa na uwepo wa mkataba baina ya msanii na producer. Hivyo basi kama hakukuwepo na mkataba huyo producer akakubali kulipwa Tshs. 30000/= imekula kwake.
 
WCB ni label yenye teamwork haitegemei producer mmoja
 

Kila shida ya mtanzania sasa lawama atapewa diamond wakati nchi ina rais na serikali kamili..tuache ujinga diamond hawezi kumtajirisha kila mtanzania..
 
Labda lugha hujui lkn, ktk ile video maproducer wote amewaandika ktk summary pale chini baada ya title ya jina la wimbo shirking, laizer na msanii Kutoka Nigeria
 
Kila shida ya mtanzania sasa lawama atapewa diamond wakati nchi ina rais na serikali kamili..tuache ujinga diamond hawezi kumtajirisha kila mtanzania..
mkuu vp umeelew uzi sijamzungumzia diamond kama mwanasiasa nimemzungumzia kama msanii na nimesema sioni sababu ya diamond kutokumtambulisha producer zaidi yakumbania kazi yake isionekane
 
Labda lugha hujui lkn, ktk ile video maproducer wote amewaandika ktk summary pale chini baada ya title ya jina la wimbo shirking, laizer na msanii Kutoka Nigeria
ata nah reel alishalalamika kuhusu ili ile sign yake nyimbo yake nah reel on beat iliondolewa
 
kwani lazima? producer akiandikwa dmond anafaidika vp? nyimbo ya dmond au producer? producer anamlipa dmond au dmond anamlipa producer? basi producer asilipwe au asidie malipo ya audio ili aandikwe. kwani anaye edit dmond au editer? ishu hapo ni makubaliano inategemea walivyokubaliana na kama no makubaliano prod imekula kwake.

siku nyingine kuwa makini kabla hujapost
 
we uliepost ujafikiria shiriko ushasikia ana sign yk nyimb za ymoto zina sign ya producer
na hii nyimb wamepita maproducer watatu sasa amweke nan amuache nan na ata nyimb ni ya msanii na pale youtube wameandkwa inatosha
 
Beat imetengenezwa na shirko, mixer vtech na laizer kafainalize, alafu why diamond, mbona shirko katengeneza hit nyingi za yamoto na hamna utambulisho wake shirko, zigo ya AY imetengenezwa harm b, mako na nahreal kamaliza je uliona saini yoyote WHY DIAMOND, tatizo mnamchukia midomoni lkn mkikaa chini mioyo yenu mnamkubali DIAMOND ni msanii mkubwa mno na hajawahi kutokea TZ kupata msanii aina ya DIAMOND , kila kitu lazima muweke RESISTANCE, mara mseme anaiga video mara hoo ameiga idea lkn wasanii kibao wanaiga idea mnakaa kimya, jana Niki wa pili katoa sweet mangi lkn hamna mtu aliyeizumzia ile video jinsi walivyoiga background effect Kutoka good life ya Kanye, bruno Mars ft damian Marley na bado Kuna video moja ya Rihanna lkn naona kimya WHY DIAMOND
 
Unamlazimisha? Umeona mikataba yake?
Producer akipewa alichotaka biashara imekwisha
Nenda kamwabie kiba aondoe sauti yake ya nyaaaauuu aweke utambulisho wa producer
 
Wasaniii. Wote bongo umeona diamond tu kwani hao ma producer wana nyimbo Moja ya diamond tu?
Mbona yule msanii wenu wa Sony hamumtajagi humu?
Baba tee anawakondesha
 
Kila kazi mnayofany lazima kuwa n makubariano hiyo laki tatu ni makubarian yao so sion sababu y producer kulalamika pembeni pia suala la kutajwa producer nadhan nalo c tatzo swal n kwamba producer alimeleza diamond amtaj kwenye hyo nyimbo

Watanzania wamezoea kumchafua mtu hasa akiwa amefanikiwa
 
Furahieni pia wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards tuzo 4 link hii

Nominees 2016 | AFRIMMA



Ukiwa humo usiwasahau pia akina

Harmonize anawania Best Newcomer (huyu aliyesainiwa na kuvumbuliwa na Diamond,nyimbo zake Bado, Matatizo, Aiyoola etc

Na

Moses Iyobo anawania Best Dancer (mchezaji dansi wa Diamond)

Na wengineo wa nchini kategori zingine, ila hawa na Diamond Platnumz weka 1st choice kwanza

Nominees 2016 | AFRIMMA


*****************************************

AEA USA AWARDS

Anawania 5 ona pichani link juu na chini yake

www.aeausa.net/vote



www.aeausa.net/vote


Utakutana na maelezo haya chini...nimeweka uyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

*************************************

Uganda Entertainment Awards
Anawania 2
Best African & Best East African

http:/ugandaentertainmentawards.com/categories.html



http:/ugandaentertainmentawards.com/

(.....jaribu tena kuingia ikikutokea)

#kidogo #diamond #platnumz #kupigakura #award #simba #mtanzania #afrimma #aeausa #uea #aea #uea16
#diamondplatnumz #tuzo #tuzo2016 #2016 #superstar #celebrity

ni mie mshabiki niliyeyaandika haya, picha kutoka instagram ya Diamond Platnumz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…