Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Huku wasanii wakiendelea kufaidika na mziki maproducer wanazidi kufa njaa mbaya zaidi huu mtindo alionza kufanya msanii Diamond haukubaliki.
Kwanini kwenye nyimbo zake producer hatambulishwi aliyetayalisha nyimbo kama wafanyavyo wasanii wengine? Nyimbo inavyoanza ianze na sign yake kufanya hivi sioni sababu zozote zaidi ya kubaniana tu pia producer maxmizer alishafunguka kuwa aliyetengeneza nyimbo ya bado alilipwa 30000 huku nyimbo imeingiza mamilion.
Diamond badilika hii nyimbo yako mpya katengeza Shirko wa Yamoto band lakini kamficha kazi yake isionekane.