Tatizo lipo hapa producer yupo tayari kumtengenezea nyimbo/wimbo Diamond sababu anaamini kua atatoka na Diamond kimsingi anataka itambulike WCB kama producer anajijua yeye ni mkali afanye kazi kwa utaratibu kua na mkataba kabisa kwamba ku-produce wimbo ni kiasi kadhaa na pia lazima niweke ki sauti changu kama mimi mtengenezaji wako na pia lebo yako iwemo....inabaki na original unafanya utaratibu wa kisajili kama ni cosota au wapi kama makubaliano yamekiukwa unakua na pa kuanzia ila tatizo hizi kazi zinafanywa na waliokimbia shule hivi unafikiri mtu kama hermy b anaweza kubali kitu kama hicho?