Diamond unawabania maproducer

Diamond unawabania maproducer

Labda lugha hujui lkn, ktk ile video maproducer wote amewaandika ktk summary pale chini baada ya title ya jina la wimbo shirking, laizer na msanii Kutoka Nigeria
Mleta uzi kazidiwa na chuki ndio maana hawezi kuona msamehe tu bure
 
Tatizo lipo hapa producer yupo tayari kumtengenezea nyimbo/wimbo Diamond sababu anaamini kua atatoka na Diamond kimsingi anataka itambulike WCB kama producer anajijua yeye ni mkali afanye kazi kwa utaratibu kua na mkataba kabisa kwamba ku-produce wimbo ni kiasi kadhaa na pia lazima niweke ki sauti changu kama mimi mtengenezaji wako na pia lebo yako iwemo....inabaki na original unafanya utaratibu wa kisajili kama ni cosota au wapi kama makubaliano yamekiukwa unakua na pa kuanzia ila tatizo hizi kazi zinafanywa na waliokimbia shule hivi unafikiri mtu kama hermy b anaweza kubali kitu kama hicho?
 
mkuu comment yako imeenda shule umelieleza vizuri muda wamaproducer kuwa kitu kimoja yani kuna vilaza humu wasiojua lolote
 
Unamlazimisha? Umeona mikataba yake?
Producer akipewa alichotaka biashara imekwisha
Nenda kamwabie kiba aondoe sauti yake ya nyaaaauuu aweke utambulisho wa producer

Hahaha hahaha nyaaaaauu
 
Back
Top Bottom