Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.

Bongo kuna vichekesho sana.[emoji1787][emoji1787]
 
Sawa mkuu
 

Nani kasema hayo, Diamond hajashinda kwa sababu ameshindanishwa na waliomzidi uwezo, hiyo ndio sababu Mkuu
 
Kwani mzee Maria Sarungi na Binti Kigogo2014 wanasemaje ?
 
Umeniudhi tu kusema kuna watu ni malimbukeni wa mpira,sijui wakienda club bingwa sijui nini. Najua unainanga Simba we utopolo
 
Diamond angepata tuzo hiyo ningeshangaa. Idadi kubwa ya nyimbo zake zimejaa maneno machafu yaliyo kinyume kabisa na jamii iliyostarabika.
Namshauri kama anataka kuwa mashuhuri awe mstaarabu katika tunzi sake, tena atafute washauri wastaarabu.
Manena kama Nyegezi, nikukate nyembe, mjanja kuchapiwa , choo cha kike. Hayafai kwa msikilizaji aliyestarabika .
Labda asubiri tuzo ya mmomonyoko wa maadili, hiyo ataipata sharp.
" Kalaga bahho".
 
Nenda kachukue ujira wako Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…