Diamond usije kujiroga kurudiana na Zari au kuja kumuoa huyo mwanamke, itakutokea puani

Diamond usije kujiroga kurudiana na Zari au kuja kumuoa huyo mwanamke, itakutokea puani

Unachekesha kweli. Who is after money?? Mpaka sasa tumeshajua between zari na mondi nani ana fwedha.

Tangu mwanzo alivyomfata zari na kuzaa naye watoto wawili hakujua kama kampita umri na anakaribia menopause.

Kama ambavyo hakuna anayekupangia nan awe demu/bwana ako the same applies to diamond.
 
Mtume Mohamadi Akiwa takriban miaka Ishirini alimuoa Jasusi wa kikatoliki Bibi Khadija akiwa na Miaka arobaini. Na baadae aliweza kuendelea kuoa wanawake wengine wengi akiwamo Aisha aliyemuoa akiwa na miaka tisa.

Kwa kutumia utaratibu wa Imani yake ya Kiislam, Diamond anaweza Kumuoa Zarina, Hamisa, na wengineo wengi.

Watu wanamfananisha Diamond Platnumz na Mtume wake Mohamad ambaye pia alikuwa mwanamziki upande wa mashairi enzi hizo.
Mtume hafanananishwi bwana
 
Wewe ni mpumbavu. Bila shaka akili yako ni ya kushikiwa. Hyo ni kwako na wewe huwezi kuwa kigezo cha kila mtu. Pumbavu sana.
Reasoning na argument ni changamoto sana. Maana hii ni kupambana na mleta mada badala ya hoja za mleta mada.
Pumbavu. Weka sifa za mke wako hapa. Usheniz mtupu.

Eti demu mkali asiye n amtoto. Akili za kishenzi sana. Kwa hiyo kwako mtoto ni laana? Pumbvu kweli kweli.
Sio kwa kupanic hivi, kweli maisha yana stress aisee. Yeye kaleta mtazamo wake bhn, wewe unapaswa kuleta wako.
 
Mtume Mohamadi Akiwa takriban miaka Ishirini alimuoa Jasusi wa kikatoliki Bibi Khadija akiwa na Miaka arobaini. Na baadae aliweza kuendelea kuoa wanawake wengine wengi akiwamo Aisha aliyemuoa akiwa na miaka tisa.

Kwa kutumia utaratibu wa Imani yake ya Kiislam, Diamond anaweza Kumuoa Zarina, Hamisa, na wengineo wengi.

Watu wanamfananisha Diamond Platnumz na Mtume wake Mohamad ambaye pia alikuwa mwanamziki upande wa mashairi enzi hizo.

Mkuu hayo ya Mohamad naona ungeyaacha, unapotosha, najua ninchuki tu juu ya uislam na waislam.

"Useless broke nigga"
 
Huu uzi utafutwa mda si mrefu aisee hebu futa huu upuuzi unamfananishaje Mtume Muhammad na mtu km diamond aliekwambia Mtume Muhammad alikuwa mwanamziki nani. Mod njoo ufanye yako kabla hakujachafuka na mwezi huu Wa Ramdhan kabla hatujaanza kudhihaki ya Yesu
Wewe ni mwarabu? Au mmakonde mwenzangu kujifanya unawajua saana waarabu
 
Ushauri Mzuri aachane na huyo Mganda.
Mademu wa Kiganda siyo.
Wako kwa ajili ya Mali tu na hata uaminifu ndani ya ndoa hakuna kutoka nje ya ndoa ni kawaida.

Achana na huyo Mganda hafai hata kidogo.
 
Mtoa mada acha kuita watoto wa mwenzako mitoto. Umesema hamisa hajatoa siri una uhakika? Zile video zilizovujishwa ? Ulimsikia esma interview Yake kuhusu zari alivyokuwa ana m treat diamond? Mwanamke ni msafi wa nyumba na ku make sure diamond yupo sana kwa kila kitu. Watu wengi tuna judge kutokana na picha tu za insta ila ukweli wanaujua wao. Kwa nini suala p.a. umri kibongo bongo ni big deal.mmoja wa p square mke wake amemzidi umri .ila wenyewe wanaishi raha mustarehe. Diamond mwenyewe aliwahi kukiri zari hamuombi hela. Kikubwa sometimes wanaume hamjijui mnataka nini.ipo na kwa baadhi ya wanawake
Nimesema hajawahi kumsema vibaya domo au hata ndugu zake elewa, zile picha zilitoka baada ya domo kumkana mtt mbele ya media.

Halafu kuhusu picha mbona zari daily anatiaga picha na video chafu sana wakiwa na mond au hizo huwa huzioni.
Unaushahid gank kuwa hamisa ni mchafu ushawahi fika kwake, ya kuambiwa changanya na yako.
 
Reasoning na argument ni changamoto sana. Maana hii ni kupambana na mleta mada badala ya hoja za mleta mada.Sio kwa kupanic hivi, kweli maisha yana stress aisee. Yeye kaleta mtazamo wake bhn, wewe unapaswa kuleta wako.
 
Wewe ni mpumbavu. Bila shaka akili yako ni ya kushikiwa. Hyo ni kwako na wewe huwezi kuwa kigezo cha kila mtu. Pumbavu sana.
wanawake wanakomaa haraka akili kuliko wanaume ,hata ukioa mke mwenye umri sawa na wewe atakupita tu kiakili, ndo maana mkeo umtangulie umri
 
Huu uzi utafutwa mda si mrefu aisee hebu futa huu upuuzi unamfananishaje Mtume Muhammad na mtu km diamond aliekwambia Mtume Muhammad alikuwa mwanamziki nani. Mod njoo ufanye yako kabla hakujachafuka na mwezi huu Wa Ramdhan kabla hatujaanza kudhihaki ya Yesu
Mkuu nakushauri Udhihaki ya Rastafarian Haile Selassie. Ukimdhihaki Yesu hakika utakuwa unawaonea Wakristo. Kama una la kusema dhidi ya Jah Man Haile Selassie we liseme.
 
Inna Lilah wa INA Lilah Raajun...Unapata wapi ujasiri wa kuandika maneno mazito na yenye kuudhi kama haya..Wewe ni Great Thinker kweli?
Mkuu husomi Historia ya Mohamad? Hujui hata kwenye kitabu kinachodaiwa kushushwa yoka juu kama aya mbali mbali ambaza maswahaba na watu wengine walizikariri na kuzihifadhi kisha kuitwa Kuruani ndani yake kuna mashairi mengi ya Mohamadi ambayo vijana wa kiislamu wamekuwa wakikaririshwa kuimba?

Anyway kuhusu suali lako soma Kuruani Sura ya 109 yote.
 
Back
Top Bottom