Diamond usiwapuuze wanaokuandama sasa, hao sio shilawadu au Konde Gang. Chukua hoja zao

Wanaharakati wamefikia wapi mpk sa hiz jamani?
Au kura hazijatosha kuwashawish BET
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

HII NCHI KUNA MUDA INA MAMBO YA KIWEHUUUU.
 
Kabisa Mkuu ,nilitoa ushauri wangu Dayamondi akae mbali na mipasho na siasa kwenye mitandao ,atumie mtandao kupost kazi zake tu!! Kigogo ni mtu mbadi akili kubwa ile anajua mambo ambayo dayamond na crew yake wote hawatakuja kuyajua, umeshauri vyema.
Mmefikia wapi na jambo lenu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na amekaa kimya basi haters napo wanaumia kweli..walitegemea angeongea...yuko bize anapost shoo zake
Kaaaama sio yeye aliyekuwa anawekewa link na votes zikafika ngapi sijui.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dogo shule hajaenda ila akili aliyonayo kwenye biashara hii ya muziki hakuna anayeweza kumuangusha kirahisi.
 
Kushindana na Kigogo ni kazi ngumu sana
 
Kashapigwa huko na mnigeria hahahaaa
 
Hiyo ilikuwa wazi kabisa
Ilikua ni swala la kusimama kama Taifa kuhakikisha tuzo inakuja nyumbani, bt kwa manyaunyau ya wasafi tumegawanyika sana na tunawapa gape wapinzani, WCB wanatakiwa wajirekebishe na wawe pamoja na wenzao wakiendelea kujiona matawi ipo siku hata KTMA ikirudi watatoka patupu...NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…