barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mpaka sasa mmemnyima ugali au mmempunguzia utajiri wake? La hasha!Kabisa Mkuu ,nilitoa ushauri wangu Dayamondi akae mbali na mipasho na siasa kwenye mitandao ,atumie mtandao kupost kazi zake tu!! Kigogo ni mtu mbadi akili kubwa ile anajua mambo ambayo dayamond na crew yake wote hawatakuja kuyajuamumeshauri vyema.
Mpaka sasa mmemnyima ugali au mmempunguzia utajiri wake? La hasha!
Mtu akikaa kimya ni tatizo kubwa kwa wanafiki na wambea mana hamjui anafanya nini au anampango gani ... ndicho kinachowasumbuaMtu anashauriwa namna ya kuwa Bora wewe unaleta akili za mende hapa.
Kwani usipoelewa hoja si upite kimya tu!Yaani aombe radhi kisa hakuisapoti chadema ila aliisapoti sisiemu, upuuzi kabisa! Ungewashquri hao unaowaita wasomi wanaharakati wa-mind their own eff business...
Mtu akikaa kimya ni tatizo kubwa kwa wanafiki na wambea mana hamjui anafanya nini au anampango gani ... ndicho kinachowasumbua
Mpaka sasa mmemnyima ugali au mmempunguzia utajiri wake? La hasha!
Eti hakupandishwa na mtu alijipandisha mwenyewe kufikia hapo....Mwache tu hajui kwamba hao hao waliompandisha ndio watakaomshusha.
Eti hakupandishwa na mtu alijipandisha mwenyewe kufikia hapo....
Eti hakupandishwa na mtu alijipandisha mwenyewe kufikia hapo....
Haya yeye hawezi kuelewa,labda awashilikishe kina Bashungwa na Abasi.Yeye akisoma ataelewa kuliko wewe ambaye upeo wako uko below average
Jinga sana wewe...hivi hapo literally umeelewa ni ugali.Unaweza ugali tuu??
Umasikini mbaya sana
Kapandishwa na juhudi zake hakuna anayempenda diamond kisa ni ccm woote tunamkubali kwa sababu ya kazi zake hivyo pelekeni ujinga wenu mlipoutoaMwache tu hajui kwamba hao hao waliompandisha ndio watakaomshusha.
Jinga sana wewe...hivi hapo literally umeelewa ni ugali.
Wazazi wako wakadai hela waliyokua wanalipa ukanywe uji shuleni. Wameipoteza bure
DIAMOND USIWAPUUZE KINA KIGOGO NA WANAMTANDAO, HAO SIO KINA KONDE NA SHILAWADU
Na, Robert Heriel
Diamond hapaswi kupuuza hii movement ya Wanaharakati wa kimtandao na wanasiasa, asije akafikiri kundi hili nila Wale Wasanii wenzake ambao hata shule hawajaenda.
Diamond anapaswa Ajue kuwa Wanaharakati wa mtandaoni ni wasomi tena sio wakubahatisha, wana-exposure ya hali ya juu kumshinda hata yeye mwenyewe,
Kama ningeambuwa nimshauri Diamond kuhusiana na kile kinachoendelea mtandaoni ningemwambia aombe radhi hata ya kinafiki kwani yote anayotuhumiwa ni kweli.
Diamond anapaswa Ajue kuwa kundi hili ndilo lile lile lililokuwa linamshambulia Mwendazake bila kukoma mpaka dakika ya mwisho kabisa bila kujali athari zozote. Ikiwa kundi hili lilimudu kumkabili Mkuu. WA nchi lazima Diamond afikiri mara mbili mbili asifikiri Kama mtoto mdogo.
Simtishi Ila namtahadharisha ili achukue hatua zinazostahili. Nafikiri Diamond Kama atazichukua hoja za hawa wanamtandao akazifanyia kazi atakuwa msanii Bora zaidi kuliko akizipuuza.
Ni kweli kabisa Diamond hakuweza kuzungumzia uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika miaka ya 2016 - 2019 zaidi ya yote alitoa kibao kisemacho ACHA NIKAE KIMYA.
Diamond asije akadhani hawa wanamtandao ni Wale kina Konde na shilawadu
Diamond lazima aangalie hili kundi linaloongozwa na #Kigigo_kigogo, na wenzake halijawahi kushindwa katika movement wazifanyazo.
Hilo kundi asilipuuze na Kama atalipuuza basi Ajue anafanya makosa makubwa yatakayo mgharimu pakubwa mno.
Diamond asilione kundi hilo Kama watafuta Kick Kama yeye na wenzake kwani kundi hilo halitegemei kick.
Management ya Diamond na washabiki wake ambao kimsingi nafahamu wengi wao wanafikiri kuwa kila anayemkosoa Diamond ni haters wabadilishe huo mtazamo.
Hakuna anayemchukia Diamond labda Wasanii wenzake huko.
Diamond unachopaswa kufanyia KAZI ni madai ya hao Wanaharakati wa mitandaoni.
Wanamtandao hawakatai Diamond kuwa CCM hiyo ni Haki yake Kama apendavyo, lakini tatizo ni diamond kushindwa kutetea maslahi na haki ya jamii yake pale zinaposiginwa.
Diamond Kama anaakili aichukue hii Kama changamoto na ajifunze ili wakati mwingine aweze kutetea maslahi na haki za jamii yake wakiwemo Wasanii.
Lakini Kama atashupaza shingo yake Nina uhakika Diamond huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wake.
Diamond akileta mawazo ya mwendazake akidhani kila anayemshauri na kumkosoa ni hater basi anguko lake halipo mbali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
ππππHaya yeye hawezi kuelewa,labda awashilikishe kina Bashungwa na Abasi.
Hajasoma huyu alibahatisha kwenye mziki hivyo sio rahisi kusikiliza watu ngoja wamnyooshe kwanza atakuwa na Adabu siku nyingine.
Unajua ukizoea kubishana na kushindanishwa na watu wa local hapa nchini kama alivyozoea kushindanishwa na Alikiba huku akisaidiwa na TV yake na redio yake ya wasafi anashinda basi yeye anazani hivyo hivyo kwemye mitandao.
Diamond hajui Power of Society katika ulimwengu wa Music. Ninamuonea huruma maana ninajua dunia ilivyo hivyo anapoteza maana sana kwenye mtandao. Alafu Entertainment kubwa kama BET aisee wakikuweka Black list anayo kazi ya kurudi juu ulimwenguni.
Labda ashinde njaaIKITOKEA AMESHINDA SIJUI UTARUDI USEME NINI TENA
Mwendazake ni mwendakuzimu.mwendazake ndio nani?