Diamond, Vanessa Mdee na Ali Kiba kuwania tuzo za Sound City MVP Awards 2016

Diamond, Vanessa Mdee na Ali Kiba kuwania tuzo za Sound City MVP Awards 2016

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kituo cha Sound City kimetangaza nominees kataka categories mbalimbali kuwania tuzo za Soundcity Mvp 2016
Diamond na vanessa mdee wametajwa kuwania kwenye vipengele 2 kila mmoja huku alikiba akipata category 1

Vanessa Mdee anawania
1480073921499.jpg

1480073937646.jpg

Diamond platnumz anawania vipengele
1480073978149.jpg

1480073991353.jpg

Alikiba anawania kipengele
1480074029779.jpg

Voting system imeshafunguliwa
Watanzania aya muwapigie kura wasanii wenu
1480074089487.jpg
 
Kila mtu anaibuka na kusema anatoa Tuzo.
Kweli hizi tuzo zina maana yoyote?

Ni bora JamiiForum nayo ikatangaza kutoa tuzo za wasanii.
 
Wanaija wameamua kujiandalia tuzo zao ili wazibebe kama kawaida yao..
 
kwakweli matuzo mpaka ya watsup group imekuwa kero bet ndo kabali yo hizo nyingine upupu
 
Back
Top Bottom