brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kituo cha Sound City kimetangaza nominees kataka categories mbalimbali kuwania tuzo za Soundcity Mvp 2016
Diamond na vanessa mdee wametajwa kuwania kwenye vipengele 2 kila mmoja huku alikiba akipata category 1
Vanessa Mdee anawania
Diamond platnumz anawania vipengele
Alikiba anawania kipengele
Voting system imeshafunguliwa
Watanzania aya muwapigie kura wasanii wenu