Wengine wanashukuru kwa kupigiwa kura za KTMA mapema siku 3/4 kabla ya siku yenyewe.
Napenda Kiba anavyojiamini, ila kazi zake sasa ni zipi?
Ndioooo kama tuzo/nomination zmetangazwa na pongezi zitangazweJaman mna uhakika gan hawajampa? Au mpaka wajitangaze instagram?
Teh shabiki andazi mie bado sijavoteushapiga kuraaa