Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

wivu wanini wakaze wafike level za kimataifa kama chibu waone kama hatuta wasifia hadi kura tuta wapigia wajipange!!!!?
 
Jamani tupige kura tuwezavyo kwa watz wenzetu bila kuwa na ushabiki!! ngoja nianze game upya leo baada ya kujaza vipengele vya watz wetu jana@ngororo master vee-money
 
Last edited by a moderator:
Safi sana tz international icons of bongo fleva Platnum n Vee money!!

Ntawapigia KURA kwa moyo mkunjufu cuz bendera ya taifa ipo mikononi mwenu!!
 
Kuna msanii anashukuru kwa kupigiwa kura siku 4 kabla !!!!!!!!
 
Hahahahaaa, jamani watu wengine mna vituko!
Kama kawaida ngoja nikae pembeni nisubiri mapovu kutoka kwa 'WAZALENDO'
 
Hahaaaaaa duniani kuna vituko. Wengi wanatumia uzalendo ka kivuli kufanikishia mambo yao kiukweli nchi hii hamna mzalendo labda late J.K. Nyerere.
 
Hahaaa haaaa daa sijui mkuuu umefikiria but angeweka msuvaa kwani ndo tishio kwasasa.
 
Back
Top Bottom