Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

uzalendo si angemtaja juma kasseja

mavi yake daimond...
Dinazarde kuchamba kwingi kuondoka na nnya

hizo nyimbo anazoshirikishwa kila siku ndo zinammaliza


jamaniii msiniite nipo napiga kura
 
Last edited by a moderator:
Jamanii Leo nimefurahiii kiii kiiii geniveros nimekuwekea picha muonyeshe mwanao yule mdogo lazima anywe uji
 

Attachments

  • wp_ss_20150615_0022.png
    wp_ss_20150615_0022.png
    133.7 KB · Views: 351
Last edited by a moderator:
Hizi timu zenu ndo zinaharibu muziki wa Tanzania. Mtu asiefaa anapewa Tuzo wakati aliebora kaachwa
 
Amina na bosi wao huyu hapa abarikiwe zaidi maana anashindwa kumwambia mtu anampenda anaendeleza visasi kama hivyo
 
Haya sasa tunaendelea kupiga kura pigeni kura mpaka waseme po
 

Attachments

  • wp_ss_20150615_0008.png
    wp_ss_20150615_0008.png
    76.6 KB · Views: 287
  • InstagramCapture_b3735d39-6732-4180-b087-abb58ea5d3f2_jpg.jpg
    InstagramCapture_b3735d39-6732-4180-b087-abb58ea5d3f2_jpg.jpg
    45.1 KB · Views: 255
Diamond mungu akikusimamia ukabeba tuzo za MTV,sijui hawa mashabiki na team ujinga watajificha wapi,,,izi team ujinga nazichukia sana,na ningekua diamond ningechukua maamuzi magumu kuama na kuwaachia liinchi lenu,,make hampendagi mtu afanikiwe sijui mnamioyo gani,,,jinga sana
hamjifunzi hata kwa waliopita??? iv mnakumbuka mlivokua mnamshindanisha kanumba na Ray?? hamkujua kama Ray ule ugonvi ulimpa ushindani kwa kanumba na kumfanya nae tumuonemo,, lkn kanumba kasepa mnasema pengo hakuna wakuziba,,Ray kwa sasa kachuja na hakuna anefatiria movie kivile za huyu mtu,kanumba ndo alifanya watu tukaacha kuhusudu nigeria movie,
hivi hivi kwa diamond,alikiba anaonekana sababu ya hili bifu na team ujinga,alafu mashabiki ndio tunawashindanisha wala sio wao,apo ndo utajua kuna watu wanafiki sana tz,
akichukua tuzo hata moja sijui mtajificha wapi,,mungu mbariki Diamond, mbariki vanessa

Umeongea kitu mkuu.....tz hatupendan si mtaani wala taifani ukionekana unapanda wanataka wakushushe........ni wajinga ndo mana masikin
 
Amen

Diamond kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana toka barani Africa na kuongezea ile ya tuzo uliyienda shule ya Africa Achievers omg nafuraha sana

Sasa hivi yupo anajadili jinsi ya kuwapaisha Yamoto Band, kijana ana roho nzuri na nyeupe ya kutotaka kupaa mwenyewe. Wasiompenda ni wale wanaotaka akae na kurudi maisha ya umaskini. Nyota yake inawaka waka hadi macho ya wengi yanachomwa nayo. Kijana wanampenda na kumuonea wivu hadi wanamsingizia kuwa anadharau na bado wanasikiliza na kudansi nyimbo zake na kutamania wawe wao, wanasahau kutaka wajue kafanyaje nao wafanye wapae kivyao hata kama sio kimuziki.

Ubarikiwe

Maneno mazuri sana mzurimie I lov that..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom