AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Hivi nyie mashabiki mandazi wa dai mmekula maharage ya wapi ninyi? Kwanini tuzo mkichukua ninyi mnataka mshangiliwe eti mziki umekuwa, lakini tuzo wakibeba wengine mnaanza kulialia eti dai anashushwa? Sasa basi mtuoneshe hiyo hati miliki ya tuzo.