Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanamtafuta pia
its like thatMmmmmmmhhhhh.....! I see
its like that
Oooooooouuhhhh Team Dmond Right...! Game yenu ngumu but Wish yah Best luck
thank you
Diamond mungu akikusimamia ukabeba tuzo za MTV,sijui hawa mashabiki na team ujinga watajificha wapi,,,izi team ujinga nazichukia sana,na ningekua diamond ningechukua maamuzi magumu kuama na kuwaachia liinchi lenu,,make hampendagi mtu afanikiwe sijui mnamioyo gani,,,jinga sana
hamjifunzi hata kwa waliopita??? iv mnakumbuka mlivokua mnamshindanisha kanumba na Ray?? hamkujua kama Ray ule ugonvi ulimpa ushindani kwa kanumba na kumfanya nae tumuonemo,, lkn kanumba kasepa mnasema pengo hakuna wakuziba,,Ray kwa sasa kachuja na hakuna anefatiria movie kivile za huyu mtu,kanumba ndo alifanya watu tukaacha kuhusudu nigeria movie,
hivi hivi kwa diamond,alikiba anaonekana sababu ya hili bifu na team ujinga,alafu mashabiki ndio tunawashindanisha wala sio wao,apo ndo utajua kuna watu wanafiki sana tz,
akichukua tuzo hata moja sijui mtajificha wapi,,mungu mbariki Diamond, mbariki vanessa
Amen
Diamond kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana toka barani Africa na kuongezea ile ya tuzo uliyienda shule ya Africa Achievers omg nafuraha sana
Sasa hivi yupo anajadili jinsi ya kuwapaisha Yamoto Band, kijana ana roho nzuri na nyeupe ya kutotaka kupaa mwenyewe. Wasiompenda ni wale wanaotaka akae na kurudi maisha ya umaskini. Nyota yake inawaka waka hadi macho ya wengi yanachomwa nayo. Kijana wanampenda na kumuonea wivu hadi wanamsingizia kuwa anadharau na bado wanasikiliza na kudansi nyimbo zake na kutamania wawe wao, wanasahau kutaka wajue kafanyaje nao wafanye wapae kivyao hata kama sio kimuziki.
Ubarikiwe
Maneno mazuri sana mzurimie I lov that..
Brand kubwa sio kitoto....#WCBforLife