Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

Kijitu kilipopata tuzo za pombe kakajiona kamekuwa kimsanii haya sasa njoo utuambie kama hata kuingia nako umechakachuliwa.
 
Diamond na Vanessa kuna chance kubwa ya kushinda ila huyo Wakazi labda iwe zali, huo wimbo wake mi nipo bongo na siujui ndio nauona leo

Je wa sarkodie unaujua mkuu
 
Hawa Kora wamepewa kitu kidogo na Diamond wasimpe King nomination tu. Inamaana hawajayasikia masauti yale kwenye Nagharimia? Sio fair kabisa.
 
Hawa Kora wamepewa kitu kidogo na Diamond wasimpe King nomination tu. Inamaana hawajayasikia masauti yale kwenye Nagharimia? Sio fair kabisa.
Kiba ni wa hapa hapa.
 
Hapo kwa Wakazi wamechemka, atashindwa asubuhi na mapema, nafasi yake alistahili Joh Makini. Diamond akiachia wimbo mpya ukahit hiyo tuzo anaichukua alfajiri kabila jogoo hajawika, Vanessa pia ana nafasi kubwa ya kushinda
 
Wakina nifah sahivi wamehamia jukwaa la siasa, huku hawaonekani tena maana hiyo minyoosho waliyoipata mwakahuu ni shida, ila niffah hata jukwaa la siasa karibu atahama, maana alikuwa team Lowasa, huko nako kanyooshwa. Yaani in short yeye anashabikiaga maluza tu

Huyo sasa hivi anashabikia Manchester, ndio maana naona hii timu itakosa ubingwa mwaka huu.
 
Huyo sasa hivi anashabikia Manchester, ndio maana naona hii timu itakosa ubingwa mwaka huu.

kumbe ndo maana timu yangu inazingua sahivi yaani siielewielewi, tutamtimua lvg na huyo nifah
 
Kiba jamani,Kora-Afrca Musik Award.
Kwanin Mfalme,Namshauri wakalime njugu na Joketi mpenziwe maana Muzik hauwedhi.
@wcb.com
DMOnd bin Baba Tipha Vote kwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Wakina nifah sahivi wamehamia jukwaa la siasa, huku hawaonekani tena maana hiyo minyoosho waliyoipata mwakahuu ni shida, ila niffah hata jukwaa la siasa karibu atahama, maana alikuwa team Lowasa, huko nako kanyooshwa. Yaani in short yeye anashabikiaga maluza tu
Hahahahaaaa kweli nawanyima usingizi sana nyie watu.
Asante Mungu kwa nyota hii uliyonijaalia kama ya mzee kipenzi cha roho yangu Lowassa.
Huyo sasa hivi anashabikia Manchester, ndio maana naona hii timu itakosa ubingwa mwaka huu.
Uliza uambiwe popoma wewe,mimi ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal the Gunners.
kumbe ndo maana timu yangu inazingua sahivi yaani siielewielewi, tutamtimua lvg na huyo nifah
Nani wa kushabikia losers?Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Daaah yani hizi tuzo nikifikiria tu hizo bilioni mbili akichukuwa tandale boy hahahahaha aiseee umaskini ndio bye bye yani..
 
Bilioni Mbili kivipi ndg..? Em nieleweshe. Thats huge.., hela kubwa sana hiyo.

Utoaji tuzo wao huwa wanataja category zote nominations kama walivyofanya isipokuwa category moja ya ARTIST OF THE CONTINENT (Msanii bora Afrika)

Hiyo mshindi atafahamika siku hiyohiyo wakati wa tuzo (na atayepata ni obvious wanapambanishwa wakali wa kila kipengele cha region east, west, etc.)

Mshindi huwa anapokea dola milioni moja $1,000,000 ambayo kipesa za kwetu zadisha na kama 2,100 inakuja zaidi ya bilioni mbili...
 
Tehe tehe tehe, hayupo hana alichokifanya, hawamwelewi wenye akili. Kwikwikwi, kijana anapiga hatua nyingi nyuma kwa kasi ya ajabu.

Amegundua pesa nyingi zinatumia ili yeye asiwepo, pengine anajiandaa na ziara ya kushtukiza siku ya utoaji tuzo
 
Hahahahaaaa kweli nawanyima usingizi sana nyie watu.

We mama na Le Mutuz inabidi mfunge pingu za maisha maana wote mna kipaji cha kujisifu. Eti unawanyima watu usingizi hahaha.
 
Back
Top Bottom