Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

We mama na Le Mutuz inabidi mfunge pingu za maisha maana wote mna kipaji cha kujisifu. Eti unawanyima watu usingizi hahaha.
Hahahahahaaa u know...
I like it
 
UWezo wa Kingkiba ni zaid ya tuzo za kuhonga, Kiba ni msanii mkubwa sana Africa, R kelly na Neyo wanalijua hilo, mmebaki mapwagu kupeana sifa za kijinga ista, we pop it in.
 
UWezo wa Kingkiba ni zaid ya tuzo za kuhonga, Kiba ni msanii mkubwa sana Africa, R kelly na Neyo wanalijua hilo, mmebaki mapwagu kupeana sifa za kijinga ista, we pop it in.

Nimepita tu sikuja kuchangia. Nakukumbusha kuwa akili zako umezisahau chooni tafafhali zifuate ili uchangie vizuri.

Napita mie.
 
UWezo wa Kingkiba ni zaid ya tuzo za kuhonga, Kiba ni msanii mkubwa sana Africa, R kelly na Neyo wanalijua hilo, mmebaki mapwagu kupeana sifa za kijinga ista, we pop it in.

Hakuna mkubwa kuliko tuzo, huyo jamas yako hayupo kabisa hii level, utofauti wa vidudu na chuo kikuu.. wakina messi na ronaldo wenyewe wanalilia tuzo sembuse kijitu cha kariapua? Afu nikutoe kwenye giza tu, licha ya ukubwa wa zile tuzo, ndio zinazoongoza Afrika zilizopata heshima ya appearance ya wakali wa mziki duniani kuzishuhudia akiwemo Michael Jackson, Chris brown, Rihanna, to mention few

Kama vipi tujiandae kwenda kumpokea KING OF AFROPOP airport akija na tuzo zetu..!

Sema woooyo woyo woyo, afu kitu kinaachiwa kesho..!
 
haaaahaaaaaaaaa kwan ni mara ya kwanza kususaa mbn mshasusa sana mtv na pengine jmn lazm muelewe nn maana ya muziki
 
Back
Top Bottom