George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Vyote..!Unatutaarifu au unatusimulia...?
uzuri wako hunaga akili .kutoa nyimbo kila siku ndo music? aya hizo nyimbo wanazotoa kila siku wanapata sh ngapi? kiba ana show kila siku ulaya na marekani huko.Amewasahaulisha ya kumzingizia ya mtoto wa puta yule anayesingiziwa na mmeingia mkenge. Dai ana akili sana sana.
Na kweli Kiba anataka kutoa wimbo kupitia kiki anayopewa na Dai.. mjini patamu.
Ila kiukweli Kiba nae aache kujiita King hana hata kiduncu cha kuwa hivyo.. amelostiiiiii big time hana hata cha kukimbilia kwa kuwekeza akiacha muziki sembuse hata kachumba kujenga. Ila Dai amemzidi kashindwa kujibia kwa kuimba hata kuiba midundo kwa kugoogle kisa hakuna akili.
Mwisho wa siku watakiju... Dai kawin kuwatemesha udaku wa yule mtaka mwanae awe ndugu wa watoto wa Zari huku hakutendwa.. angetendwa angeweka proof tuzione hata picha na hata sms kama alivyosema Numbisa... eeeeh
Ngoja nikasome mazuri ya JPM na PCM.
tatizo ni hali ya mifuko ya suruali mkuu, mambo yamebadilika siyo kama zamani itafikia hatua hadi ushabiki wa mpira utapungua!Diamond na Ali kiba siku hizi beef lao limekuwa la kawaida, zamani hapa jamii forum diamond au kiba akipost dongo threads moja inaweza ikawa na page 20 mpaka 50 au zaidi, ila sasa hivi hamna hata thread zenye page zaidi ya tano, tokea hii rmx itoke. Alafu na hata huku mtaani sio kivile, mimi nakumbuka zamani mnabishana mpaka mnataka kugombana sometime kununiana, ila sasa hivi kazini, kijiweni na home tuna miezi zaidi ya sita hatujawazungumzia hawa watu, ila kupitia hayo mabishano niliyengeneza marafiki wengi wa faida. Ila hii beef ingekuwa tamu kama wote, wangekuwa wanahiphop, huyu akichana na huyu nae anachana (kwenye hip hop kuchanana ruksa), ila kwa wana bongo fleva naona hajawa na ladha kivile, japokuwa hii rmx kidogo imeamsha hili beef lkn si kwa kiwango kile kama zamani.
August 19 mwaka gani? Maana leo tarehe 23 Augustuzuri wako hunaga akili .kutoa nyimbo kila siku ndo music? aya hizo nyimbo wanazotoa kila siku wanapata sh ngapi? kiba ana show kila siku ulaya na marekani huko.
Hahahahahajahahahaa 1760August 19 mwaka gani? Maana leo tarehe 23 August
Utafungwa ndugu yangu, wakati unatengeneza hiyo App, uliwashirika wahusika au mahaba yako.SASA UNAWEZA KUPAKUA MOBILE APP YA DIAMOND VS ALIKIBA KWENYE PLAY STORE BUREE KABISA ILI UWE MIONGONI MWA WATU WA KWANZA KABISA KUPATA EXCLUSIVE ZOTE ZINAZOWAHUSU MAHASIMU HAWA WAWILI WA MUZIKI NCHINI TANZANIA. BOFYA HAPA KUPAKUA DIAMOND VS ALIKIBA MOBILE APP
Diamond kaja na free style aliyoipost IG.
Mashabiki wa King Kiba wanamwaga matusi.
Wanadai Diamond kawataja King Kiba na Ommy Dimpoz katika hiki kionjo.
Tutaona na kusikia mengi safari hii.