Diamond vs Ali Kiba: Tutaona Mengi

Diamond vs Ali Kiba: Tutaona Mengi

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Diamond kaja na free style aliyoipost IG.
Mashabiki wa King Kiba wanamwaga matusi.
Wanadai Diamond kawataja King Kiba na Ommy Dimpoz katika hiki kionjo.
Tutaona na kusikia mengi safari hii.
 
Amewasahaulisha ya kumzingizia ya mtoto wa puta yule anayesingiziwa na mmeingia mkenge. Dai ana akili sana sana.

Na kweli Kiba anataka kutoa wimbo kupitia kiki anayopewa na Dai.. mjini patamu.

Ila kiukweli Kiba nae aache kujiita King hana hata kiduncu cha kuwa hivyo.. amelostiiiiii big time hana hata cha kukimbilia kwa kuwekeza akiacha muziki sembuse hata kachumba kujenga. Ila Dai amemzidi kashindwa kujibia kwa kuimba hata kuiba midundo kwa kugoogle kisa hakuna akili.

Mwisho wa siku watakiju... Dai kawin kuwatemesha udaku wa yule mtaka mwanae awe ndugu wa watoto wa Zari huku hakutendwa.. angetendwa angeweka proof tuzione hata picha na hata sms kama alivyosema Numbisa... eeeeh

Ngoja nikasome mazuri ya JPM na PCM.
 
Diamond na Ali kiba siku hizi beef lao limekuwa la kawaida, zamani hapa jamii forum diamond au kiba akipost dongo threads moja inaweza ikawa na page 20 mpaka 50 au zaidi, ila sasa hivi hamna hata thread zenye page zaidi ya tano, tokea hii rmx itoke. Alafu na hata huku mtaani sio kivile, mimi nakumbuka zamani mnabishana mpaka mnataka kugombana sometime kununiana, ila sasa hivi kazini, kijiweni na home tuna miezi zaidi ya sita hatujawazungumzia hawa watu, ila kupitia hayo mabishano niliyengeneza marafiki wengi wa faida. Ila hii beef ingekuwa tamu kama wote, wangekuwa wanahiphop, huyu akichana na huyu nae anachana (kwenye hip hop kuchanana ruksa), ila kwa wana bongo fleva naona hajawa na ladha kivile, japokuwa hii rmx kidogo imeamsha hili beef lkn si kwa kiwango kile kama zamani.
 
Inauma pale kutwa kucha kumsema kwa mabaya mwenzako alafu yeye hana habari na wewe.
 
Amewasahaulisha ya kumzingizia ya mtoto wa puta yule anayesingiziwa na mmeingia mkenge. Dai ana akili sana sana.

Na kweli Kiba anataka kutoa wimbo kupitia kiki anayopewa na Dai.. mjini patamu.

Ila kiukweli Kiba nae aache kujiita King hana hata kiduncu cha kuwa hivyo.. amelostiiiiii big time hana hata cha kukimbilia kwa kuwekeza akiacha muziki sembuse hata kachumba kujenga. Ila Dai amemzidi kashindwa kujibia kwa kuimba hata kuiba midundo kwa kugoogle kisa hakuna akili.

Mwisho wa siku watakiju... Dai kawin kuwatemesha udaku wa yule mtaka mwanae awe ndugu wa watoto wa Zari huku hakutendwa.. angetendwa angeweka proof tuzione hata picha na hata sms kama alivyosema Numbisa... eeeeh

Ngoja nikasome mazuri ya JPM na PCM.
uzuri wako hunaga akili .kutoa nyimbo kila siku ndo music? aya hizo nyimbo wanazotoa kila siku wanapata sh ngapi? kiba ana show kila siku ulaya na marekani huko.
20838144_1959959790948788_180119039924764672_n-jpg.573097
 
Attachments

  • 20838144_1959959790948788_180119039924764672_n.jpg
    20838144_1959959790948788_180119039924764672_n.jpg
    84.7 KB · Views: 1,070
Diamond na Ali kiba siku hizi beef lao limekuwa la kawaida, zamani hapa jamii forum diamond au kiba akipost dongo threads moja inaweza ikawa na page 20 mpaka 50 au zaidi, ila sasa hivi hamna hata thread zenye page zaidi ya tano, tokea hii rmx itoke. Alafu na hata huku mtaani sio kivile, mimi nakumbuka zamani mnabishana mpaka mnataka kugombana sometime kununiana, ila sasa hivi kazini, kijiweni na home tuna miezi zaidi ya sita hatujawazungumzia hawa watu, ila kupitia hayo mabishano niliyengeneza marafiki wengi wa faida. Ila hii beef ingekuwa tamu kama wote, wangekuwa wanahiphop, huyu akichana na huyu nae anachana (kwenye hip hop kuchanana ruksa), ila kwa wana bongo fleva naona hajawa na ladha kivile, japokuwa hii rmx kidogo imeamsha hili beef lkn si kwa kiwango kile kama zamani.
tatizo ni hali ya mifuko ya suruali mkuu, mambo yamebadilika siyo kama zamani itafikia hatua hadi ushabiki wa mpira utapungua!
 
Diamond kaja na free style aliyoipost IG.
Mashabiki wa King Kiba wanamwaga matusi.
Wanadai Diamond kawataja King Kiba na Ommy Dimpoz katika hiki kionjo.
Tutaona na kusikia mengi safari hii.

Hawa watoto Diamond na King Kiba siku ikitokea tu wakamua kuweka joint forces, watakuwa matajiri wa dunia, na si Afrika. Inaonyesha kuna wajanja walishaliona hili na huwa wanafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa hawapatani ili wasije wakatoka kwa kiwango kile ambacho walitakiwa kutoka,...,,,, hlafu wakitoka huko kwa King Kiba na Diamond, wanarudi kwenye Serikali wanaanza kuhoji kwa nini imenunua ndege! Yaani bongo kuna roho ya kutu ya ajabu Mungu atusaidie
 
Kiba anapata promo aonekane yupo juu ili kumshusha mond, ni kama Kwa Kanumba na Ray tuliaminishwa ni washindan lakni Ray alikuw anatembelea huu ushindan kuonekana yupo juu lakin hamna kitu, ni kama kwa Kiba na Mondi, Mondi ni level zingne sio Level za Kiba, Kamkuta kiba kweny Game, kajituma, kakomaa kweli kweli na kampita,

By the way, Nyimbo Mpya ya Kiba ni nzuri lakin sio hit song. Yakawaida sana.

Moto Hauzimi ya Benson > Nyimbo ya Mofaya
 
Kila nikipita huku nakutana na uzi wa kijinga jinga tu dah
 
Back
Top Bottom