Diamond Vs P square Youtube

Diamond Vs P square Youtube

Wewe ndio ******** na Zumbukuku YouTube sijaianza leo wala jana kamata hao nyumbu wenzio uwalishe hayo matango mwitu yako sio mimi.
Wewe cchoko nini..!?
Nani kwani youtube ameanza kuingia leo..!?

Mimi nikulishe wewe tango kwa faida gani ambayo naipata haswa..!?
 
Bastardized pumpkin Moron Zumbukuku
Mkuu...
Mbona unajishushia heshima..!?
Naamini umri wako ni mkubwa kuliko mimi...
Pia naamini elimu yako ni kubwa kuliko mimi...
Sasa nashangaa huo MOYO wa kuendelea kutukanana na mimi unautoa wapi..!?
Sasa hapa mimi na wewe nani anakuwa zumbukuku..!?
Ni ajabu..!
 
Sasa siku nyingine usilete uongo hapa unaelimishwa unajifanya mjuaji nikishakuambia upo wrong automatically you should shutup and do some more research to prove your argument sio unajifanya unatetea ujinga. Get a life.
 
Wewe huo unaouita UKWELI uko wapi..!?
Wewe umekuja na ka-article kutoka quora,ndio utuaminishe SHUDU unazotuambia..!?
Huyo aliyeandika hiyo article ni youtube technician..?
 
Maybe the language was the barrier that's why I asked you if you have an awareness on the language the author was not only YouTube technician but a prominent programmer wewe uliyoleta ya kisomi to verify your argument ipo wapi zaidi ya blahblah?
 
Mimi na wewe ni watu wawili tofauti...
Tufunge tu huu mjadala..!
Baki na unachokiamini na mimi nibaki na ninachokiamini kwa kuwa haimuathiri yeyote kati yetu..!
 
Pia nikushauri tu...
Kama unahisi hiyo research yako na huyo mtaalamu wako uliyemuona huko quora iko sahihi ni vyema ukafungua uzi kuwapa hiyo elimu wengine pia..!
 
Hiyo sio imani huo ni ukweli technically and can be proved.

Pole
 
Pia nikushauri tu...
Kama unahisi hiyo research yako na huyo mtaalamu wako uliyemuona huko quora iko sahihi ni vyema ukafungua uzi kuwapa hiyo elimu wengine pia..!
Umshauri nani kama hauijui Kitu cha kawaida kama hicho.
 
alooo umeusikiliza huu wimbo vizuri ndugu yangu?mi toka jana sichomoki youtube,duh kila mtu na mtazamo wake.

wewe umeangalia kutwa nzima ni zaidia ya mara 100!! [emoji2][emoji2]
 
Akili ndogo..!!!
Wewe kinachokufanya uone unajua kuliko mimi ni nini..!?
Hiyo article uliyoitoa quora..!?
Au nini kingine..?
Ndio mana nakuita Zumbukuku unataka nikuamini kwa uthibitisho gani ulionipa?

Nimekusoma umempinga tu mwenzako kwa kusema ni muongo YouTube inahesabu mara moja per viewer always mimi nimekupa article inayodhibitisha you are wrong bado unaendelea kubishana bila evidence yoyote inayodefend argument yako alafu unauliza hilo swali?

Nitakuamini wakati haujanipa technical approach zaidi ya mipasho you are an amazing lunatic.
 
Wewe ni msengee...
Wewe umenipa evidence gani..!?
 
Back
Top Bottom