Diamond Vs P square Youtube

Diamond Vs P square Youtube

Ila mnataka kulinganisha hao p square na diamond?
P square waache na nafasi yao ya mziki hapa afrika usiwafananishe na chibu!
Wale ni levo za kipekee kaka
nimefananisha nyimbo zao mpya,p square ni level nyingine 😀😀😀😀😀😀😀
 
Ligi zingine bhana sasa Diamond na P square wanafanana mbona Ligi yako haina usawa
 
Diamond ametoa Salome sio kwamba aulinganishe na kidogo hapana ila ni lazima use na nyimbo unazotoa za kawaida na nyimbo za kimataifa kama ilivyo kidogo. Mondi hua hana utani kwenye muziki
 
P.square ilikua ni zamani ila sasahivi p.square hawamuwezi diamond na Africa nzima wanalijua hilo[/

ivi kwa uelewa wako unaweza ukafananisha vdeo ya diamond na ya psquare..hata effect ya Clarence peters hamuioni..kweli diamond kawafanya watanzania kuwa vpofu..
 
diamond ana fans..
na hicho kitu ndio kinawatetemesha wasanii wengi sana Africa..
na ndicho wanachokitamani wasanii wote ..
=kuwa na mashabiki ambao wanasapoti kazi zako..

= kuwa na mashabiki wanaokusapoti kwa chochote.

na hivo ni vitu diamond anavyo..
na ndio vinamfanya msanii kuwa juu..
uwe na sauti usiwe na sauti ila watu wakikukubali
wakaamua kukuweka juu..
na wewe bila kuwaangusha ukawapa wanachohitaji..

unaweza kuwa MICHAEL JACKSON
 
Ooh nyc comment..hii ndio comment ya mtu anaejua music sasa.
 
Youtube inalipa, watanzania hamjui tu, ndio maana wachache wanafanya ila ni kazi nzuri kabisa.
Kama hapo jamaa kwa 1Million views anakusanya sio chini ya 2Million, kama clicks ni nyingi anapiga hata 4Million. Na wajanja kama Millard Ayo wanaweka na matangazo kama ya Vodacom, hao wanapiga hadi 40Million kila mwezi. Wanasema ujinga ni umasikini, watu ambao hawana kazi lakini wana simu na uwezo wa kuongea sijui kwa nini hawajaanza kitu kama hiki.
 
Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku tatu itakuwa ni 1.5M.
Youtube haidanganyi ukitazama unahesabika!!!
Update 23/09/2016 @05:08

- Diamond: 1,588,513 views
- PSquare: 1,200,170 views

And the winner is.......

dia1.jpg
dia2.jpg
 
Wanigeria weshakalishwa mda na Platinumzz..

Eti wanasusia game!!??

Vibakuli kweli...
 
Mnasususia game wakati mwenzenu ana njaa...!!!??
Mbafuu...
 
Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Ukiwa na viwers weng youtube unalipwa

Back
Top Bottom