princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
wanalipwa na youtubeHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanalipwa na youtubeHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
we jamaa una akili????unataja kabila la watu la nini???na kwanini unabisha kitu ambacho sio kweli??...nimesema wimbo wa mwisho wa diamond kuwa viwer wengi ni nana baada ya hapo hakuna viewer zaidi ya million 6 mpaka sasa hebu kuwa muelewa wewe mnyakyusa wa wapi mgumu kuelewa
Acha nikaingeze idadi[emoji1]Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku tatu itakuwa ni 1.5M.
Youtube haidanganyi ukitazama unahesabika!!!
nani kakuambia?wanalipwa na youtube
akili ninayo vipi wewe?we jamaa una akili????unataja kabila la watu la nini???na kwanini unabisha kitu ambacho sio kweli??...
EVEN YDUpoor you!!!
Wewe ndo unanikebehi kwa vitu ambavyo havituingizii hela ila fanya kupotezeajamaa naona umenikamia kweli,nimekukosea nini??
kama ni mzee sana hataelewa,ila akikuuliza mwambie una kazi nyingi utamjibu siku nyingineAisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi
Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je??
Hahaahahhahahha aiseeeh umeichambua vzur sana. Ila km mshua ni mtu wa Kagera ondoa shaka.ataifurai sanaAisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi
Hasa ka reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"
Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??
Akaendelea
"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"
Matusi yakaendelea
"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"
Matusi yakaanza kuwa makubwa
"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)"
Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"
Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini
Dai sasa
"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)
Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"
Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi
"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome
*Matusi matupu*
Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je??