Poa dadawimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa dadawimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
Poa dadawimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
Kwahyo hutaki au"mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100
Ili Nikufumue marinda? Mi sifanyagi hizo mambo tafuta mabasha wengine.njoo leo ulale kwangu basi
Analipwa na YouTube kutokana na yale matangazo yanayokuja kabla ya wimbo kuanza.Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
kumbe shida yako nikupulizie upepo pole sana nenda jela manyapara watakusaidia sawa mremboIli Nikufumue marinda? Mi sifanyagi hizo mambo tafuta mabasha wengine.
Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Kawaida yako team mfwalme kiba. Hua unatetea mpk pasipo na tijawimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
sema ukweli wako kabisaaKawaida yako team mfwalme kiba. Hua unatetea mpk pasipo na tija
Wimbo ni mzuri sana tena sanaaaaa.sema ukweli wako kabisaa
nimesema wimbo wa mwisho wa diamond kuwa viwer wengi ni nana baada ya hapo hakuna viewer zaidi ya million 6 mpaka sasa hebu kuwa muelewa wewe mnyakyusa wa wapi mgumu kuelewanapata tabu kujua wewe na nani haswa na unatoka nchi gani,umesema nana ndo imetazamwa zaidi...ukaambiwa sio hiyo ni number one na mimi nakwambia hivyo bado unasema sina akili....mungu anakuona!!!
huenda kwakuwa mpya ndo maana nauona mbaya ngoja nione siku zinavyoenda utakuajeWimbo ni mzuri sana tena sanaaaaa.
Kwakua wewe ni team kiba na antfan wa diamond utauona mbaya 2. Angeimba wimbo huo huo kiba ungeusifia mara 754,890.97
nimesema wimbo wa mwisho wa diamond kuwa viwer wengi ni nana baada ya hapo hakuna viewer zaidi ya million 6 mpaka sasa hebu kuwa muelewa wewe mnyakyusa wa wapi mgumu kuelewa
unajua huo wimbo na nana upi umetangulia usipost kitu bila kujitambua sawa kijanabaada Ya nana hii ndiyo iliyofuata.
Moja kati ya mafala niliowai kukutana nao ni wewe.sema jingine ila sintokujibu nitakuuza milele.
View attachment 403541
Utakua haujadanganya ila umeinusa mwenyewe chupi yakoNa je nikiliambia jukwaa kuwa hao viewers laki6 ndo haohao hawataongezeka,.... Nitakuwa nadanganya????
Wewe mwenyewe ndio tajua kama unadanganya ama la! Sisi tutajuaje?Na je nikiliambia jukwaa kuwa hao viewers laki6 ndo haohao hawataongezeka,.... Nitakuwa nadanganya????
Sio Bure wewe utakuwa ni msengelema pyua.unajua huo wimbo na nana upi umetangulia usipost kitu bila kujitambua sawa kijana
Wazo lako ni la maana sana,lakini TATIZO WATU WANATAKA WAMSHUSHE HUYU NDIO APATIKANE MWENGINE,KITU AMBACHO WENGINE HATUTAKI KITOKEE KAMA VIPI ABAKI HUYOHUYO AENDELEE KUWABULUZA MAANA AKILI HAWANA.
Wazo lako ni la maana sana,lakini TATIZO WATU WANATAKA WAMSHUSHE HUYU NDIO APATIKANE MWENGINE,KITU AMBACHO WENGINE HATUTAKI KITOKEE KAMA VIPI ABAKI HUYOHUYO AENDELEE KUWABULUZA MAANA AKILI HAWANA.