Diamond Vs P square Youtube

Diamond Vs P square Youtube

Je kwa hela nani anamzidi mwenzake kwa hela labda
Diamond ataongoza sababu Watanzania wengi hawana kazi zaidi ya kupita Youtube
 
Je kwa hela nani anamzidi mwenzake kwa hela labda
Diamond ataongoza sababu Watanzania wengi hawana kazi zaidi ya kupita Youtube
nadhani pia na wewe huna kazi zaidi ya kupita JF
 
Mondi anajua sana. Watu wanakataa kingendembwe tu.
 
Nilichogundua Unajitia ujuaji mwingi kumbe bogazi.
Kaangalie my nomber one na Nana ni ipi ina views wengi.
Sio kila uzi utie comment uzi mwingine pita tu,iatasaidia kuficha ukilaza wako na roho mbaya yako na wivu kwa mwanaume mwenzio.
wewe utakuwa mgonjwa uwe unasoma kwanza kabla ya kukomenti
 
Ivi kwann tz tusitengeneze wakina diamond wengi,ili tupat ushindani mzuri,...maana kina ngoma akitoa ni habri hapa town...yani mshkaj anajua mpk unahisi tz hamna wasanii wengne..duh!
 
umemsema mwenzio bila kosa...!!inayoongoza ni number one remix ft davido imetazamwa mara 16,717,013
wewe hata mtihani utafeli karudie kusoma nilichoandika mwanzo maana umejibu majibu ya kichwani mwako bila hata kunielewa
 
Ivi kwann tz tusitengeneze wakina diamond wengi,ili tupat ushindani mzuri,...maana kina ngoma akitoa ni habri hapa town...yani mshkaj anajua mpk unahisi tz hamna wasanii wengne..duh!
Wazo lako ni la maana sana,lakini TATIZO WATU WANATAKA WAMSHUSHE HUYU NDIO APATIKANE MWENGINE,KITU AMBACHO WENGINE HATUTAKI KITOKEE KAMA VIPI ABAKI HUYOHUYO AENDELEE KUWABULUZA MAANA AKILI HAWANA.
 
wewe hata mtihani utafeli karudie kusoma nilichoandika mwanzo maana umejibu majibu ya kichwani mwako bila hata kunielewa
napata tabu kujua wewe na nani haswa na unatoka nchi gani,umesema nana ndo imetazamwa zaidi...ukaambiwa sio hiyo ni number one na mimi nakwambia hivyo bado unasema sina akili....mungu anakuona!!!
 
Back
Top Bottom