Bosslady wapi bwana wewe!!huyo bibi hana Ishu...Showoff zinammaliza,anapenda umaarufu kupitiliza!!
.
Ila nilichojifunza ni kwamba kama huna uhakika na kitu basi usikimbilie kumuacha mtu...inauma sana kumuacha mtu uliesema ni malaya,halafu akaja akapata mtu mzuri na akatulia sàna,hakika inauma!!Zari alitegemea Tanasha ni demu wa kupita tu,sasa kumbe Diamond ndio ameweka kambi!!.
.
Sikuzote nasemaga anayeacha anaumia zaidi kuliko anaeachwa!!ukiachwa ni rahisi sana kumoveon kuliko ukiacha[emoji1787]muda wote unatamani uliemuacha aendelee kuharibu ili ujione ulikua sahihi kumuacha...sasa ukiona ametulia,anafanya mambo yake na hana habari na wewe haloooo inaumaaa!!!