sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Aiseee!Nasikia maulid kitenge na zamaradi mketema wameenda wasafi media.
Zamaradi mkuu wa vipindi kama ex wake.Nasikia maulid kitenge na zamaradi mketema wameenda wasafi media.
Patamu hapo,acha tujipange tukachukue nafasi za utangazaji huko,tule shavu na sisi..Zamaradi mkuu wa vipindi kama ex wake.
Nasikia maulid kitenge na zamaradi mketema wameenda wasafi media.
Ukipewa milioni mia uvunje kimkataba chako utakakataa?Kitenge nae hajatulia kuruka ruka hovyo. Kila kituo,? Ulimbukeni. Namkubali sana dogo mmoja tupo Radio One, Abu Bakar Sadck. Tupo ft. Mwingine ni Millard Ayo yuko poa sana.
Mambo niii [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamaradi mkuu wa vipindi kama ex wake.
Maulid Kitenge ninavyojua ' haziivi ' kabisa na ' Makondakta ' na bahati mbaya ni kwamba nyuma ya mafanikio ya Diamond kwa sasa yupo ' Makondakta ' hivyo sioni kama hilo linaweza kutokea japo najua Hela inaweza kumbadilisha adui akawa rafiki yako mkubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Acheni kumpa ujiko Bashite, Diamond kaanza hustle zake kabla hajabadilisha jina na kuwa Makonda.
Huna unachokijua na ni vyema kama ukijua hauko well informed ukanyamaza tu ili wenye kujua wakusadie kufahamu.
Well informed my ass, kila mtu anajua Diamond kapata mafanikio kwa kujituma, dizaini hawa kina bashite wanajaza nzi kwa vile wanamuona jamaa yuko juu.
Kitenge mbona ana hama hama sana ila pesa ndo kila kitu lakiniNasikia maulid kitenge na zamaradi mketema wameenda wasafi media.
Huwa sipotezi muda Watu wenye IQ ' mfu ' tafadhali.
kama una kipaji utapataPatamu hapo,acha tujipange tukachukue nafasi za utangazaji huko,tule shavu na sisi..