Diamond; wasafi tv haijaja kushindana na mtu

Diamond; wasafi tv haijaja kushindana na mtu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
a6d889364ddab7305a4025f9be6b6130.jpg

Wasafi tv haijaja kushindana na mtu bali imekuja kuongeza nguvu kukuza tasnia ya sanaa na burudani' ...amesema diamond baada ya kuulizwa kuusu minongono ya kushindanishwa na kituo fulani kizee cha tv na radio.
 
Ni kusema itakua NGO? Kama ni biashara, hataweza kufanya hayo ya kuongeza nguvu na burudani akifanya kiwango cha chini na hapo ndio ushindani unapoanzia.

Kuna tofauti kati ya ugomvi na ushindani kibiashara
 
Kitenge nae hajatulia kuruka ruka hovyo. Kila kituo,? Ulimbukeni. Namkubali sana dogo mmoja tupo Radio One, Abu Bakar Sadck. Tupo ft. Mwingine ni Millard Ayo yuko poa sana.
 
Nasikia maulid kitenge na zamaradi mketema wameenda wasafi media.

Maulid Kitenge ninavyojua ' haziivi ' kabisa na ' Makondakta ' na bahati mbaya ni kwamba nyuma ya mafanikio ya Diamond kwa sasa yupo ' Makondakta ' hivyo sioni kama hilo linaweza kutokea japo najua Hela inaweza kumbadilisha adui akawa rafiki yako mkubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kitenge nae hajatulia kuruka ruka hovyo. Kila kituo,? Ulimbukeni. Namkubali sana dogo mmoja tupo Radio One, Abu Bakar Sadck. Tupo ft. Mwingine ni Millard Ayo yuko poa sana.
Ukipewa milioni mia uvunje kimkataba chako utakakataa?
Siku hizi hata watangazaji nguli wanapewa signing fee
 
Kama siyo biashara sawa lakini kama ni biashara, biashara ni ushindani
 
Maulid Kitenge ninavyojua ' haziivi ' kabisa na ' Makondakta ' na bahati mbaya ni kwamba nyuma ya mafanikio ya Diamond kwa sasa yupo ' Makondakta ' hivyo sioni kama hilo linaweza kutokea japo najua Hela inaweza kumbadilisha adui akawa rafiki yako mkubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.

Acheni kumpa ujiko Bashite, Diamond kaanza hustle zake kabla hajabadilisha jina na kuwa Makonda.
 
Huna unachokijua na ni vyema kama ukijua hauko well informed ukanyamaza tu ili wenye kujua wakusadie kufahamu.

Well informed my ass, kila mtu anajua Diamond kapata mafanikio kwa kujituma, dizaini hawa kina bashite wanajaza nzi kwa vile wanamuona jamaa yuko juu.
 
Well informed my ass, kila mtu anajua Diamond kapata mafanikio kwa kujituma, dizaini hawa kina bashite wanajaza nzi kwa vile wanamuona jamaa yuko juu.

Huwa sipotezi muda Watu wenye IQ ' mfu ' tafadhali.
 
Back
Top Bottom