Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Alafu uyu jamaa asione watanzania ni watu wa kudanganywa tu kila mahali..kwenye kampeni tudanganywe mpka kwenye burudani jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lAcha ulofa wewe kampamba wapi??
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo acha wivu wa kisengee sawa we kitobo?
Ulivocheka....na mimi nimejikuta nacheka....alafu sijui kinachonichekesha....hii tabia sijui ntaiacha lini maana hata nkimuona mtu anacheka na mimi najikuta nimeangua chekoooHahahHHhaha
Heeeeeee........huhuhuhuhuhu JF rahaaa sanaaaAcha ulofa wewe kampamba wapi??
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo acha wivu wa kisengee sawa we kitobo?
ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha
Kuna vitu vinachekesha sanaUlivocheka....na mimi nimejikuta nacheka....alafu sijui kinachonichekesha....hii tabia sijui ntaiacha lini maana hata nkimuona mtu anacheka na mimi najikuta nimeangua chekooo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nasikia eti ni Rihanna, Nick Minaj na Drake ndio walitaka kujiunga na WCB 😀😛😀
Utakua na ugonjwa wa chekelea mkuuUlivocheka....na mimi nimejikuta nacheka....alafu sijui kinachonichekesha....hii tabia sijui ntaiacha lini maana hata nkimuona mtu anacheka na mimi najikuta nimeangua chekooo