Diamond: Wasanii wengi wa kimataifa wametaka kujiunga na WCB ila nimewakatalia

Diamond: Wasanii wengi wa kimataifa wametaka kujiunga na WCB ila nimewakatalia

Alafu uyu jamaa asione watanzania ni watu wa kudanganywa tu kila mahali..kwenye kampeni tudanganywe mpka kwenye burudani jamani
 
Kuna mtu kala ban kwa thread hii hii. Mapovu na matusi juu, nimecheka!
 
Duuh, siamini kawatolea nje JAYZ na BEYONCE waliomba kujiunga, siyo vyema hivyo wakubalie tu.
 
Wazo la Diamond kusaidia watanzania wenzake ni zuri sana na ni uzalendo. Wasanii wengine wakubwa waige kitu kama hiki cha kusaidia chipukizi wa hapa hapa japo kufanya nao collabo tu ili wawatoe nafasi moja kwenda nyingine. Wazo hili lifanyiwe kazi pia na directors, producers na wadhamini ili kuufikisha mbali mziki wetu na kuwa na wasanii wengi wenye mafanikio kitaifa na kimataifa
 
Tobaaaaaa
Sikua najua hili kumbe hii label ni kubwa ivi eeh
 
Back
Top Bottom