Diamond: Wasanii wengi wa kimataifa wametaka kujiunga na WCB ila nimewakatalia

Siamini Diamond anaweza kuongea upuuzi kama huo neva say neva
 
Safi mondi
 
WCB ni Bonge la label lenye wasanii watatu waliosainiwa anawakimbiza MMG,Roc Nation na DreamChasers(DWMTM).
 
WCB ni Bonge la label lenye wasanii watatu waliosainiwa anawakimbiza MMG,Roc Nation na DreamChasers(DWMTM).
Wcb ina wasanii watano..hata kujua hujui ila kushadadia sasa kama ka nini sjui kweli nimeamin watafiti hawakukosea ile ratio ya 4:1 sasa ngoja tu nikueleweshe wasanii hao..kuna Diamond mwenyew,,Harmonise,,raymond,,Rich mavoko,, na qwin darling..... ungemuuliza hata mwenzako pembeni ili usiongeze ratio ya watafiti fake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
labda wema sepetu
 
Alafu uyu jamaa asione watanzania ni watu wa kudanganywa tu kila mahali..kwenye kampeni tudanganywe mpka kwenye burudani jamani
We mbona una roho mbaya hivo, kwani kakulazimisha uamini ..... Au huyo ni mbunge, diwani au ni rais wako kwamba neno lake ni maagizo au ni sheria.
 
Imepenyaaaa IyoooΓ²o....WCB soon itaongoza duniani,inamkaribia Sony.
 
Hao ndo wasanii wenu hahahaha aisee kweli bongo noma dah hahahahahah

Eti diamond watu wameona kokoto
 
We mbona una roho mbaya hivo, kwani kakulazimisha uamini ..... Au huyo ni mbunge, diwani au ni rais wako kwamba neno lake ni maagizo au ni sheria.

Anawadanganya wale wauza mitumba wenzake wa tandale magharibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…