Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
Wcb ina wasanii watano..hata kujua hujui ila kushadadia sasa kama ka nini sjui kweli nimeamin watafiti hawakukosea ile ratio ya 4:1 sasa ngoja tu nikueleweshe wasanii hao..kuna Diamond mwenyew,,Harmonise,,raymond,,Rich mavoko,, na qwin darling..... ungemuuliza hata mwenzako pembeni ili usiongeze ratio ya watafiti fake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WCB ni Bonge la label lenye wasanii watatu waliosainiwa anawakimbiza MMG,Roc Nation na DreamChasers(DWMTM).
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
We mbona una roho mbaya hivo, kwani kakulazimisha uamini ..... Au huyo ni mbunge, diwani au ni rais wako kwamba neno lake ni maagizo au ni sheria.Alafu uyu jamaa asione watanzania ni watu wa kudanganywa tu kila mahali..kwenye kampeni tudanganywe mpka kwenye burudani jamani
Imepenyaaaa Iyoooòo....WCB soon itaongoza duniani,inamkaribia Sony.Wcb ina wasanii watano..hata kujua hujui ila kushadadia sasa kama ka nini sjui kweli nimeamin watafiti hawakukosea ile ratio ya 4:1 sasa ngoja tu nikueleweshe wasanii hao..kuna Diamond mwenyew,,Harmonise,,raymond,,Rich mavoko,, na qwin darling..... ungemuuliza hata mwenzako pembeni ili usiongeze ratio ya watafiti fake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 423350
yepi hayo?Ngoja nipite tu kimya kimya na mie nisije yakanikuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah sheedNasikia eti ni Rihanna, Nick Minaj na Drake ndio walitaka kujiunga na WCB 😀😛😀
Acha ulofa wewe kampamba wapi??
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo acha wivu wa kisengee sawa we kitobo?
Wcb ina wasanii watano..hata kujua hujui ila kushadadia sasa kama ka nini sjui kweli nimeamin watafiti hawakukosea ile ratio ya 4:1 sasa ngoja tu nikueleweshe wasanii hao..kuna Diamond mwenyew,,Harmonise,,raymond,,Rich mavoko,, na qwin darling..... ungemuuliza hata mwenzako pembeni ili usiongeze ratio ya watafiti fake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 423350
We mbona una roho mbaya hivo, kwani kakulazimisha uamini ..... Au huyo ni mbunge, diwani au ni rais wako kwamba neno lake ni maagizo au ni sheria.
Naona tayali umeingia jela salaam zaoAcha ulofa wewe kampamba wapi??
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo acha wivu wa kisengee sawa we kitobo?