Diamond: Wasanii wengi wa kimataifa wametaka kujiunga na WCB ila nimewakatalia

Diamond: Wasanii wengi wa kimataifa wametaka kujiunga na WCB ila nimewakatalia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
 
Nasikia R. Kelly kambembeleza sana anataka ajiunge WBC, lakini Diamond kamtalia kwa sababu anakuza vipaji vya Bongo. Safi sana ndo uzalendo huo.
 
Back
Top Bottom