Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekaririshwa endelea ivo ivoHahahahaha simbaaaaa bana
Angewataja basi hata msanii mmoja hao wanigeria wanaotaka kujiunga Dablyusibi davido nini au wiz kid hahaha
Hahhaaah davido kasignishwa sony na hyo wizkid hawezi kuja kujiunga kwa msaanii choko kama hyooUmekaririshwa endelea ivo ivo
Nahisi mzaramo ndo atakuwa kichaa kwa mawazo yanguSallam,Diamond,Babu Talle na Saidi Fella.....hapa sijui nani kati yao atakuwa kichaa.