Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

Diamond ameshindwa kusoma soko na kujua watu wanahitaji nini kwa sasa. Amepanic sana kuona wakina davido wamechange kidogo kutoka kwenye uimbaji na beats wanazotumia, mfn nyimbo za sasa hiv ametumia beat za taratibu sana za kuteka hisia tofauti na mwanzo mfano mzuri ni nyimbo ya fall

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mzee ni kama beat hazina shida kwa soko.

Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Track ya kilimanjaro ya Joh gnako ft jide ilikuwa wamechukua beat wakahamishia tu jamaa wakaenda booth na track ilichukua hadi tuzo ya HIP HOP
 
Najua tatizo ni kwa sababu Diamond ameimba... Ila nyimbo ya KCEE Inaitwa DESIRE. Hii ilitoka kabla ya FALL ya DAVIDO... Angalia kisha niambie Davido nae ameiba beat???
 
Diamond ameshindwa kusoma soko na kujua watu wanahitaji nini kwa sasa. Amepanic sana kuona wakina davido wamechange kidogo kutoka kwenye uimbaji na beats wanazotumia, mfn nyimbo za sasa hiv ametumia beat za taratibu sana za kuteka hisia tofauti na mwanzo mfano mzuri ni nyimbo ya fall

Sent using Jamii Forums mobile app

Ina maana Davido nae amemuiga Kcee kwenye nyimbo yake ya desire...???

Suala la nyimbo au beat kufanana ni jambo la kawaida sana kwa wanaofahamu muziki...
 
ile nyimbo kacopy and paste sasa sijui ubunifu hamna au? Laizer naye kwa kusampo beats hajambo aongeze ubunifu
Kwa mimi ninavyo ona Laizer sio mtu sahihi wa kumtengenezea nyimbo diamond ki uhalisia....!

Ukitizama WBC pale karibu wote midundo yao inafanana yani midundo inayo toka haina lazima kuna vitu vitakuwepo.....

Kwa diamond nafikiri huyu Laizer angebaki na wakuna Mavoko,hamonize na Rey Van lasivyo ata anguka kimzingi.....

Labda afanye kitu kimoja kwa sasa akafanye ngoma na mtu kama Tuddy Thomas Shedy au Mr T.Touch hawa watu wana radha flani hivi na midundo yao inakuwa na amsha amsha....!

Ni kweli kabisa mkuu yaani beat zinafanana mno
 
Ila siku hizi watu hawaimbi wanafanya biashara. Biashara ndiyo target acha wafanye wanachoona kinawapa pesa ila mziki unakufa
kweli mkuu, mpaka leo sijajua kimataifa ladha ya muziki wa kibongo ni upi
 
Back
Top Bottom