Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ila mzee ni kama beat hazina shida kwa soko.Diamond ameshindwa kusoma soko na kujua watu wanahitaji nini kwa sasa. Amepanic sana kuona wakina davido wamechange kidogo kutoka kwenye uimbaji na beats wanazotumia, mfn nyimbo za sasa hiv ametumia beat za taratibu sana za kuteka hisia tofauti na mwanzo mfano mzuri ni nyimbo ya fall
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Track ya kilimanjaro ya Joh gnako ft jide ilikuwa wamechukua beat wakahamishia tu jamaa wakaenda booth na track ilichukua hadi tuzo ya HIP HOP