Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio ulaya mkuu ni china hapo,uongo wa nini...Niko kwny kijiwe kimoja kwny mojawapo ya nchi za ulaya, mara naona kitu Diamond Platinumz kinachezwa kwny screen na wazungu wanafurahia kweli kweli....hongera sana D...we kweli ni wa kimataifa....
InterestingNiko kwny kijiwe kimoja kwny mojawapo ya nchi za ulaya, mara naona kitu Diamond Platinumz kinachezwa kwny screen na wazungu wanafurahia kweli kweli....hongera sana D...we kweli ni wa kimataifa....
Inaweza ikawa ulaya lakini bar ya kichina. Lolsio ulaya mkuu ni china hapo,uongo wa nini...
nimekupenda bure njoo pm mamaInaweza ikawa ulaya lakini bar ya kichina. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha ,uko vizuriInaweza ikawa ulaya lakini bar ya kichina. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha haaaa.Ha ha ha ,uko vizuri
Sipajui mkuu nifahamishe huko pm nafikaje?nimekupenda bure njoo pm mama
Kwani China sio ulaya? Si ni ulaya pori.sio ulaya mkuu ni china hapo,uongo wa nini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli kweliKwani China sio ulaya? Si ni ulaya pori.
Mi mwenyeweSource of information plus location
Kick gani sasa hapo mkuu....?Siku hizi kumbe kutafuta kick ni rahisi sana!!.....unatafuta kick mkuu![emoji30] [emoji30] [emoji30]